Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

Habari wadau wa uchumi!Mimi nahitaji kufahamu juu ya fixed akaunti kwa Muda wa Miezi sita naweza kupata faida ya asilimia ngapi kwa milioni saba kati ya NMB na CRDB,Nimeamua kuuliza humu sababu niko mbali na ofisi za Benki.
 
I am proffesional banker for more than 9yrs.Fixed deposit hazina return yeyote ya maana ktk hizi amount ndogo za pesa yaani below 50M,wanaofaidi vizuri ni wale wanaoweka pesa atleast 50M na kuendelea.Lakini kama una project nyingine za uhakika ni bora ukazizungusha huko utapata faida zaidi kuliko kuweka fixed.Na usizani kwamba hizi benki kubwa ndo za kuweka fixed deposit sivyo,benki kubwa mara nyingi liquidity(Ukwasi) huwa vizuri kwahiyo uhitaji wa fund huwa mdogo thus rates zao huwa chini sana.Benki ndogo ndo huwa na tatizo kubwa la ukwasi so ndo sehemu za kwenda kufanya fixed deposit.Mfano kwa wastani mtu akiweka 50M ktk banks zenye higher rate anaweza kuwa na faida ya 600k kwa kila mwezi.So pata picha hiyo.
 
Naam kuna ukweli hapa
 
Kwa rate zilizopo NMB bank, hicho kiasi kwa miezi sita utapata karibu 110250/=(baada ya kutoa tax rate ya 10%). Rate ni 3.5% kwa miezi sita, na withholding tax ni about 10% kama haijabadilishwa...!
 
I am proffesional banker for more than 9yrs.Fixed deposit hazina return yeyote ya maana ktk hizi amount ndogo za pesa yaani below 50M,wanaofaidi vizuri ni wale wanaoweka pesa atleast 50M na kuendelea.Lakini kama una project nyingine za uhakika ni bora ukazizungusha huko utapata faida zaidi kuliko kuweka fixed.Na usizani kwamba hizi benki kubwa ndo za kuweka fixed deposit sivyo,benki kubwa mara nyingi liquidity(Ukwasi) huwa vizuri kwahiyo uhitaji wa fund huwa mdogo thus rates zao huwa chini sana.Benki ndogo ndo huwa na tatizo kubwa la ukwasi so ndo sehemu za kwenda kufanya fixed deposit.Mfano kwa wastani mtu akiweka 50M ktk banks zenye higher rate anaweza kuwa na faida ya 600k kwa kila mwezi.So pata picha hiyo.

Very good lesson!! Nimecheki hiyo hesabu yako ya 50m na kuvuna 600k baada ya mwezi this means 1.2% kwa mwezi. Does it mean nikiweka kwa mwaka ita culculate 1.2x12?? sawa na 14.4% meaning for a 50m x 14.4% nitapata 7.2m baada ya mwaka.
 
Nimeangalia rates za CRDB, yaani hamna kitu hapo! Go there kama unaona huna cha kufanyia hiyo pesa yako kwa sasa lakini sio kwa ajili ya kupata faida.

Nimeona CRDB wameandika Time Deposit kwa kipindi cha miezi 3, 6, hadi 12 kwa rate ya UP TO 5%! Now assume unaweka 10M kwa mwaka, 5% ni 500K!
 
I am proffesional banker for more than 9yrs.Fixed deposit hazina return yeyote ya maana ktk hizi amount ndogo za pesa yaani below 50M,wanaofaidi vizuri ni wale wanaoweka pesa atleast 50M na kuendelea.Lakini kama una project nyingine za uhakika ni bora ukazizungusha huko utapata faida zaidi kuliko kuweka fixed.Na usizani kwamba hizi benki kubwa ndo za kuweka fixed deposit sivyo,benki kubwa mara nyingi liquidity(Ukwasi) huwa vizuri kwahiyo uhitaji wa fund huwa mdogo thus rates zao huwa chini sana.Benki ndogo ndo huwa na tatizo kubwa la ukwasi so ndo sehemu za kwenda kufanya fixed deposit.Mfano kwa wastani mtu akiweka 50M ktk banks zenye higher rate anaweza kuwa na faida ya 600k kwa kila mwezi.So pata picha hiyo.
Umechangia vizur Sana mihemko
 
Hizo fixed zingekua zina toa faida hiyo 10m kwa miezi 3 unapata 1.8 m au 2m kama unavyosema hakika watu wengine biashara wangefunga wakapeleka mitaji huko
 
I am proffesional banker for more than 9yrs.Fixed deposit hazina return yeyote ya maana ktk hizi amount ndogo za pesa yaani below 50M,wanaofaidi vizuri ni wale wanaoweka pesa atleast 50M na kuendelea.Lakini kama una project nyingine za uhakika ni bora ukazizungusha huko utapata faida zaidi kuliko kuweka fixed.Na usizani kwamba hizi benki kubwa ndo za kuweka fixed deposit sivyo,benki kubwa mara nyingi liquidity(Ukwasi) huwa vizuri kwahiyo uhitaji wa fund huwa mdogo thus rates zao huwa chini sana.Benki ndogo ndo huwa na tatizo kubwa la ukwasi so ndo sehemu za kwenda kufanya fixed deposit.Mfano kwa wastani mtu akiweka 50M ktk banks zenye higher rate anaweza kuwa na faida ya 600k kwa kila mwezi.So pata picha hiyo.

Benki ipi hiyo mzee tukaweke mzigo?
 
Nimeangalia rates za CRDB, yaani hamna kitu hapo! Go there kama unaona huna cha kufanyia hiyo pesa yako kwa sasa lakini sio kwa ajili ya kupata faida.

Nimeona CRDB wameandika Time Deposit kwa kipindi cha miezi 3, 6, hadi 12 kwa rate ya UP TO 5%! Now assume unaweka 10M kwa mwaka, 5% ni 500K!

Duh...hatari bora ukaweke mkeka tuu.
 
I am proffesional banker for more than 9yrs.Fixed deposit hazina return yeyote ya maana ktk hizi amount ndogo za pesa yaani below 50M,wanaofaidi vizuri ni wale wanaoweka pesa atleast 50M na kuendelea.Lakini kama una project nyingine za uhakika ni bora ukazizungusha huko utapata faida zaidi kuliko kuweka fixed.Na usizani kwamba hizi benki kubwa ndo za kuweka fixed deposit sivyo,benki kubwa mara nyingi liquidity(Ukwasi) huwa vizuri kwahiyo uhitaji wa fund huwa mdogo thus rates zao huwa chini sana.Benki ndogo ndo huwa na tatizo kubwa la ukwasi so ndo sehemu za kwenda kufanya fixed deposit.Mfano kwa wastani mtu akiweka 50M ktk banks zenye higher rate anaweza kuwa na faida ya 600k kwa kila mwezi.So pata picha hiyo.
Huo ndio ukweli ambao BANKS hazitaki kuwaambia watu, kuhofia kupoteza wateja wao
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom