Five young American Muslims detained in Pakistan over alleged terrorist links | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Five young American Muslims detained in Pakistan over alleged terrorist links

Discussion in 'International Forum' started by MaxShimba, Dec 11, 2009.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  In this five-combo photo released by Sargodha Police Department ...  [​IMG]


  In this five-combo photo released by Sargodha Police Department on Friday, Dec. 11, 2009, arrested American Muslims, from left, Waqir Hussain Khan, Ramys Zamzam, Umar Farooq, Ahmad Abdulminni, Aman Hasan Yamer are seen in Sargodha, Pakistan. Pakistani police say five young American Muslims detained over alleged terrorist links are most likely to be deported.(AP Photo/Sargodha Police Department)
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Islamic evil doers
   
 3. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2009
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ndg zangu/yangu nashangazwa sana na hii attitude ya kijinga kabisa..ku-stigmatize imani ya mwenzio haina manufaa yeyote ktk juhudi na harakati za ku-habarishana na kusaidizana ktk kuondoa/kupunguza shida,umasikini, maradhi,ufisadi na dhiki mbalimbali ktk maisha yetu! Ndg zangu tuna mengi ya msingi kabisa kabisa kujadiliana na ku-habarishana kuliko ujinga huu...Au wenzetu/mwenzetu ni kibaraka cha mafizadi ktk harakati zao za diverge vita za ukombozi wa kweli wa Mtanzania?
   
 4. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  wamwjitahidi sana kuliko wange kuwa upande wa kuua watoto na watu wasio na hatia kwa mabomu (christian evil doers)

  safi sana vijana go against the christian evil doers, never kill innocent people in the name of america
   
 5. October

  October JF-Expert Member

  #5
  Dec 11, 2009
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 2,147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mkuu asante sana kwa mchango wako, Kinachonshangaza ni kwanini pale mabaya ya yakiandikwa kuhusu baadhi ya wakristo mnashangilia na kushabikia kwa moyo wote na wakati mabaya yanapotendwa na baadhi ya waislamu hamtaki yasemwe? Kwanini mnakua na double standards hamtaki mabo yenu yasiwe reported?

  Nadhani hii JF ni mahali pekee ambapo KILA KITU KINAWEZA KUJADILIWA KWA UWAZI BILA KUMWANGALIA MTU USONI ILI MRADI MTU ASIWE ANATUNGA UONGO. Najua yanayosemwa humu mara nyingi huuma lakini hii ndio njia pekee ya kuweka wazi uozo wote katika jamii ili jamii ijirekebishe.

  Kama mtu unaona kua linalosemwa ni uongo unao uhuru wa kutoa vielelezo vinavyoonyesha ukweli wenyewe kuhusu jambo hilo ili na wengine wapate kutambua ukweli halisi. Hakuna haja ya kuwa na jazba wala chuki kwa sababu jambo Fulani linalojadiliwa halikupendezi.
  Kama kuna kidonda kilichotunga usaha katika jamii yetu ni lazima kifunguliwe kiwekwe wazi kisafishwe na kutiwa dawa, hii ndio njia pekee ya kupona kkwa jamii, kuficha kidonda hakutatusaidia chochote.
   
Loading...