Prosper righenda
New Member
- Apr 21, 2021
- 4
- 1
Ndugu zangu Kuna kozi fulani hivi inaitwa fitter mechanical nasikia inatolewa na veta ila sijui veta ya mkoa gani na ipi naombeni msaada kwa hilo.
AsanteCheki humo kuna vyuo vingi vya selikari vinavyotoa iyo cozView attachment 1759719
KakaFITTER MECHANICS