Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

Hata huku kwetu tunangojea hukumu wiki ijayo. Mtasikia kijana mmoja mwenye majigambo amepewa hukumu
kwa kuhusika katika uuzaji na ununuaji feki wa nyumba.

Mkuu unaweza kukuta Hukumu ikawa ya miezi 15 tu. Kuna pesa za escrow zipo nje nje wanaweza kuwa na Lawyers wazuri.Si umeona hukumu ya Kitwara?
 
Eti tuna usalama wa Taifa!!! Ptuuuuu!!!! Aibu tupu!!!

IMG_8368.JPG
 
Jana, Disemba 9 2014, mbeba maboksi aitwaye Alpha Mshihiri alihukumiwa kwenda miaka 12 gerezani kwa makosa ya ulaghai wa mikopo ya nyumba.

Wenzenu tunabeba maboksi halafu nyie mnafanya ufisadi wenu na kujidai eti hamuwezi kuajiriwa na mtu. Mkizipata hizo hela mnaanza nyodo.

Huyu Alpha Mshihiri ni Mlimani Primary School alumnus. .

Star Tribune[/FONT][/COLOR]

Miafrika ndivyo tulivyo
 
Hayo ndo matatizo ya nchi kugeuka kuwa chaka la ubabaishaji; badala ya kutoa watu wachapakazi tumegeuka kuwa chanzo cha matapeli, wakora, wauza unga, wezi kama escrow, nk. Watanzania tunahitaji mabadiliko makubwa sana kuweza kujenga jamii staarabu inayoongozwa na mfumo bora wa sheria.
 
Bahati mbaya Sana hao wezi.... wakora....wababaishaji sasa wanakaribishwa mpaka sebule namba moja nchini.......
 
Jana, Disemba 9 2014, mbeba maboksi aitwaye Alpha Mshihiri alihukumiwa kwenda miaka 12 gerezani kwa makosa ya ulaghai wa mikopo ya nyumba.

Wenzenu tunabeba maboksi halafu nyie mnafanya ufisadi wenu na kujidai eti hamuwezi kuajiriwa na mtu. Mkizipata hizo hela mnaanza nyodo.

Huyu Alpha Mshihiri ni Mlimani Primary School alumnus. .

Star Tribune[/FONT][/COLOR]

Mkuu Nyani Ngabu, Hivi kuna mahakama ilikaa na kutoa hukumu Desemba 9, 2014?
 
Last edited by a moderator:
Eti tuna usalama wa Taifa!!! Ptuuuuu!!!! Aibu tupu!!!

Mkuu once ushikaji ukiisha kuingia kwenye idara iliyotakiwa kuwa nyeti usishangangae hata ''most Wanted Criminal'' ambaye picha yake iko kwenye ukurasa wa mbele wa magazeti ya serikali kesho akaapear tena kwenye magazeti hayo hayo akipata juice ya Apple na His Excellency....Tanzania Hakuna Idara yoyote iliyo hai,kuanzia Ikulu hadi Serikali za Mitaa na watendaji wa nyumba Tano Tano.
IMG_8368.JPG
 
Kweli hakuna usalama wa taifa bali usalama wa wapiga dili, huyu presidaa anajisikiaje lakini? Unakutanishwa na watu hata huulizi wasifu wao? Ptuuuuu, aibu hata kutundika picha ya huyu jamaa kwenye ofisi za uma.
 
Hivi suala kama hili linatakiwa kutolewa maelezo na utawala wa nchi ili kusafisha image ya urais wa Tanzania!?? ..nauliza.
Mkuu once ushikaji ukiisha kuingia kwenye idara iliyotakiwa kuwa nyeti usishangangae hata ''most Wanted Criminal'' ambaye picha yake iko kwenye ukurasa wa mbele wa magazeti ya serikali kesho akaapear tena kwenye magazeti hayo hayo akipata juice ya Apple na His Excellency....Tanzania Hakuna Idara yoyote iliyo hai,kuanzia Ikulu hadi Serikali za Mitaa na watendaji wa nyumba Tano Tano.
IMG_8368.JPG
 
Hivi suala kama hili linatakiwa kutolewa maelezo na utawala wa nchi ili kusafisha image ya urais wa Tanzania!?? ..nauliza.

Yeah...Ni kwanini mtu mwenye profile yenye utata aliweza kuruka viunzi vyote hadi kuingia kwenye sebule kama sio chumba cha kulala cha nchi...kwamba state datails hawakuwa na sababu ya kupekua file lake? walijisahau kidogo? Ama walimwonea haya Mr President? Ni nani alikuwa nani siku huyu sharo alipouza sura na Mzee wa Kaya na remuneration ya ajira yake as state Detail?
 
mshiri uliingia choo cha kike huko kwa obama, ungekuwa tz ungepeta tu maana ikulu na serikali ingekuunga mkono ktk upigaj maana nchii yote imejaa wapigaji.
12 years siyo mchzo......au wenzetu nao wana hesabu usiku na mchana
 
Back
Top Bottom