First year kuripoti chuo kikuu na tranka ni ushamba au hofu ya kuibiwa?

Nipe Andiko

Senior Member
Jan 20, 2017
133
133
Nilikuwa nawaona wanavyokuja wameyabeba, hata wao wenyewe wanaona aibu wakifika kwenye wanafunzi wengi ile siku ya kuripoti, anatamani hata alifiche tranka lake, ila sema tu haiwezekani.

Wengi baada ya kuchekwa sana, kesho na kesho kutwa, najua watayatupa, ili kuepuka kuendelea kukejeliwa!
 
df967cd8de6a8e4b0abee7b9951d1568.jpg
 
Mimi ndio ningefurahia kuwa nalo nikijua wezi hawataweza kudokoa au niseme wadokozi.. yaani wezi.

Ninayapenda kwa kweli
Sasa natamani kumiliki moja.. nitanunua niwe nalo.. safari za kijijini n.k
 
Kwani tranka lina shida gani?
Ndo nyie mnaiga iga maisha mkiwa chuoni.
Sasa chuo cha kisasa kana UDOM au hostel za Magu UD zina makabati fresh kabisa li-sanduku la chuma la nini zaidi ya kwenda kuwajazia wenzako nafasi na kuharibu unadhifu wa chumba? Though it doesn't matter ni ushamba!
 
Kwa wale ambao mko vyuo vikuu, natumaini mmeshuhudia jinsi baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza, waliokuja na masanduku ya chuma chuoni, maarufu kama 'TRUNKS'.

Hivi ni kwa nini mwanafunzi anaenda chuo kikuu na tranka? Je, ni ushamba wa huko anakotoka, au ni kutokujua anafkri chuo ni kama boarding za sekondari, au ni kuhofia kuibiwa, au ni sababu gani nyingine?

Nilikuwa nawaona wanavyokuja wameyabeba, hata wao wenyewe wanaona aibu wakifika kwenye wanafunzi wengi ile siku ya kuripoti, anatamani hata alifiche tranka lake, ila sema tu haiwezekani.

Wengi baada ya kuchekwa sana, kesho na kesho kutwa, najua watayatupa, ili kuepuka kuendelea kukejeliwa!

Ila first year Mwaka huu mmevunja rekodi kwenda chuo na Matranka? Humu kila siku huwa tunawaambia usiende na tranka chuo, ila hamuelewi!

Kama wewe ni first year na bado hujaripoti chuo, tunakukumbusha tena, Tranka lako liache nyumbani, usiende nalo chuo, nunua hata bag la 20000.

17cee37ed67266a0d06cad55b80bb409.jpg
Ushauri wa bure. Soma shule acha nani kaja na mkokoteni. Kavaa katambuga, hana suruali za kimodo. Anavaa mtumba. Nikuhakikishie viongozi na hata akina Chenge, Jaji Warioba n.k hawakuwa watoto wa Kishua na leo waangalie walivyo. Mfano mwingine angalia JPM. Nakuhakikishia mtoto wa mlalahoi ndiye hupata GPA nzuri ya 3.8 and above na akina nyie mnapata a gentleman degree. Mwisho wa siku mkishindwa masomo mnatukana utawala ulio madarakani na kuona mnaonewa. Soma acha wafu wazike wafu wao. Kwani akija na sumata (wewe huyajui) masanduku ya makaratasi kuna shida gani?Kikubwa kutusua chuo na GPA nzuri
 
Mimi ndio ningefurahia kuwa nalo nikijua wezi hawataweza kudokoa au niseme wadokozi.. yaani wezi.

Ninayapenda kwa kweli
Sasa natamani kumiliki moja.. nitanunua niwe nalo.. safari za kijijini n.k
Mkuu vyuo ni si vinatoa Locker kwa Kila mwana chuo
 
2007 wakati naanza first year nakumbuka kuna mmoja alikuja na huo mzinga pamoja na godoro lake jipya it was funny though. At times ni kutokuwa na exposure kuhusu haya mambo.
Hahaaaa kwakweli nmecheka....mi hua naona kabla hujaenda sehemu kama hizo ni vzuri kuuliza walau upate a,b,c....m hua sivungi kuuliza kama kitu skijui ndo maana wakati naenda chuo nlikua na bag simple sana ...nguo nyingi nilinunua huko huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom