St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,635
- 4,519
Mitanzania ndivyo ilivyo. Badala ya kuelewa anachoongea mtu yenyewe kazi yao ni kutafuta makosa. Kwa taarifa ni kuwa huyo anayeongea muda wote japo anabreak in no time ataongea English nzuri kukuzidi hata wewe mwenye English ya interview. Tuwasapoti vijana wetu badala ya kuwashusha ari ya kujifunza kwa kuwatoa kasoro ndogondogo.