Umevutiwa na nini kaka,avatar?
Chonde choNDE chonde first lady mnaomba hiyo nafasi ya first man kama iko wazi
hahaha heheheh hebu muulize wewe ?
Tangu lini firstlady akakosa Firstman??????
me namtakaga sana first lady, ila ni avetor tu iliyonivutia sasa sijui kama yeye pia nilizuri.
First lady i love u.
kiukweli mimi sio mzuri kama unavyodhani
bad lucky
kiukweli mimi sio mzuri kama unavyodhani
bad lucky
FL1 naona leo bahati ipo upande wako! lol
Kiukweli binadamu wote walioumbwa na Mungu ni wazuri hakuna mbaya. Naamini mpaka umejiita FirstLady1 inaonekana uko bomba sana. Ngoja na mimi nikutafute, teh teh teh.
hahaha huyu kanidondokea kwenye mapinduzi ya zanziberi sijui kuna nn hapa ?
ndo anakupindua au anampindua first man wa sasa lol
jina lake linajieleza ni mpiganaji wa msituni huyu