First Lady alisherehekea siku ya wanawake duniani?! Kitaifa ilifanyika wapi?!

Mimi ni mfuatiliaji mzuri lakini sikugundua na mpaka sasa sijagundua,tuambie wewe sasa uliye mfuatiliaji mzuri
Umekurupuka, kama ungekua mfuatiliaji mzuri ungeshaligundua kwamba Mke wa Rais alikuwa wapi siku ile.

Rais mwenyewe alipokua anamuaga Rais wa Rwanda pale airport alipata fursa kuongea na wanawake waliokuwepo pale uwanja wa ndege, na alisema na yeye anaenda kumuona mama yake ambaye ni mgonjwa, kwa maneno yale ungeweza kupata taswira ya wapi Mke wa Rais anaweza kuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 
Mimi ni mfuatiliaji mzuri lakini sikugundua na mpaka sasa sijagundua,tuambie wewe sasa uliye mfuatiliaji mzuri

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
Hahaha mfuatiliaji au follower wake hajui pia, maana kakimbia
 
Kuna makabila wanaume hawakujaliwa kumwinua na kumpetipeti mwanamke.
Nakumbuka kuna Mke wa Makamu wa Rais Omar Ali Juma (RIP), Aligeuza uelekeo wa msafara wa Makamu wa Raisi.
Kivipi fafanua
 
Back
Top Bottom