Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 844
Hivi ma players humu ndani..how much do you normally spend on a first date?
ndiyo maana nikasema, ni bora kuwa modest.. kuliko mambo ya ku splash $$$$ wakati hujui kama demu mwenyewe ni inbred...( background checks muhimu ndugu yangu.. huchelewi sikia alikuwa locked up in a dungeon for the past 15yrs... ..hasa huko kwenu yuropu mambo kama haya nd'o kabisaa usiombee)MA SIMP MKO WENGI KUMBE HUMU ....free advice here from MACK LESSONS-Mack Lessons Radio #115-"How Women Test Men On First Dates"
http://macklessons.mypodcast.com/200707_archive.html
nilijua kuwa kuna ma Playas humu lakini sikujua kama kuna ma SIMP namna hii...mwenzenu nishaanza kuadopt hiyo TARIQ NASHEED $20 PRINCIPLE max on a fist date .PUNDIT you come a cross kama real playa lakini kwenye hili umeniangusha ile kichizi
$80 WTF are you trying to prove to a woman ona first date my nigga? daym!
mimi dates zangu za kwanza na hasa kwa ma broads wa MYSPACE/FACEBOOK ni Starbucks kisha ninafanya kumuanalize huyo demu mwenyewe then i make my decision
ndiyo maana nikasema, ni bora kuwa modest.. kuliko mambo ya ku splash $$$$ wakati hujui kama demu mwenyewe ni inbred...( background checks muhimu ndugu yangu.. huchelewi sikia alikuwa locked up in a dungeon for the past 15yrs... ..hasa huko kwenu yuropu mambo kama haya nd'o kabisaa usiombee)
$80 nadhani ni reasonable.... Starbacks Latte ni $7, sasa hapo bado hujachukua vi cookie 3 hivi, si unajua tena, vimung'unya ni muhimu ukiwa kwenye ma cafe' kama hayo... na ukimaliza gahawa lako nilazima uchukue vidumu viwili vya still water, otherwise you'll have ya day spoilt by stinkin caffeine gobs!!
From da cafe' you will need to drive to a nearest movie theatre, kama hudrive ni muhimu kuita text, siongelei mambo ya text bubu hapa.. mifano ile ya ma latinos wa NY au wanaijaboy wa London... hapo ni kama $18 hivi, ukifika kwenye theatre ni muhimu kuchagua movie iliyodondoka si chini ya siku 4 zilizopita... .....
brazameni, mimi ndiyo maana nimejustify hiyo $80.... any less, utakuwa unaendekeza ugumu wa akina DMX, ... you heard.....
MA SIMP MKO WENGI KUMBE HUMU ....free advice here from MACK LESSONS-Mack Lessons Radio #115-"How Women Test Men On First Dates"
http://macklessons.mypodcast.com/200707_archive.html
nilijua kuwa kuna ma Playas humu lakini sikujua kama kuna ma SIMP namna hii...mwenzenu nishaanza kuadopt hiyo TARIQ NASHEED $20 PRINCIPLE max on a fist date .PUNDIT you come a cross kama real playa lakini kwenye hili umeniangusha ile kichizi
$80 WTF are you trying to prove to a woman ona first date my nigga? daym!
mimi dates zangu za kwanza na hasa kwa ma broads wa MYSPACE/FACEBOOK ni Starbucks kisha ninafanya kumuanalize huyo demu mwenyewe then i make my decision
Hivi ma players humu ndani..how much do you normally spend on a first date?
I ain't no serious dating guru, the data you provided was fed into the crystal ball and the outcome read "Not enough information to form an opinion"
Naona Kama Jamaa Ana Apointment This Weekend,ebu Msaidien Vijana,sisi Umri Ushatupita Na Mambo Hayo
Depends on whom you are dating........... dating a money sucking lady you gotta dig deep in your pockets.
But guys you need to learn the art of dating.............. most first dates at a dinner table do not usually go well ultimately. Start by a visit to an interesting place and let dinner be the last piece to the puzzle, by that time you would have had insight into the person and reached a good comfort zone.
True playa for real, if the prize is right and the plans long term gotta cop that $ 250 Tanzanite pendant (not only for her but machizi in Mererani and the bongo symbolism)
Depending on where you at, only the best, nothing under $100 for dinner.
First impressions are the most influential, you know.
Well true first impressions are important but be carefull not every woman is after you money. unaweza ukakosa date ya pili just coz yu splashed your $$$$ to show off, its a complete turn off for some women. U might not know that she also has more money than u and is out looking for anything but $$$$$. so be modest, I would do a movie and coffee for first date, relax and enjoy each others company, then see if you want a second date. save your $$$ for last, a cruise holiday may be if things go well!!
Mlivyokuwa bongo mlikuwa mnakwenda dates au ndio unanunua chipsi dume, mishikaki na fanta ngoma imetoka unaanza kusubiria jibu mwezi mzima...? kila siku unasikia bado nafikiria.