First China-Africa Economic and Trade Expo opens in central China

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,213
24,076
June 27, 2019
Beijing, China
First China-Africa Economic and Trade Expo opens in central China

Source : CGTN

Chinese President Xi Jinping has sent a congratulatory letter to the first China-Africa Economic and Trade Expo, which opened Thursday in Changsha, capital city of Central China's Hunan province.

China and Africa are good friends, good partners and good brothers with shared destiny and vision, Xi said.

Over the years, in line with the tide of history and the development needs of each side, China and Africa have carried out practical cooperation on the basis of equality and mutual benefit, bringing remarkable results that have benefited people of both sides, Xi said.

The expo, announced at the Beijing Summit of the Forum on the China-Africa Cooperation (FOCAC) last September, was established to provide a platform for deepening economic and trade cooperation between the two sides, he stressed.

The first China-Africa Economic and Trade Expo brings together the Chinese and African governments, think tanks, enterprises and financial institutions to discuss major cooperation projects.

It is hoped that the two sides will strengthen coordination to better implement the eight major initiatives put forward at the Beijing summit of the FOCAC, actively explore new paths for cooperation, open up new points of growth for collaboration, and promote China-Africa economic and trade cooperation to a new level, Xi said.

Source: http://www.chinadaily.com.cn/a/201906/27/WS5d1466a0a3103dbf1432a9cc.html
 
CH

Meneja wa TANTRADE Ndugu Stephen Koberou akitoa maelezo juu ya bidhaa za Tanzania kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni na Naibu Waziri Mkuu wa China walipotembelea banda la Tanzania katika maonesho ya China-Africa Economic & Trade Expo jijini Changsha
CH

Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi akisaini kitabu cha wageni katika banda la Tanzania katika maonesho ya International Horticulture Expo, Beijing nchini China
CH

Chuo Kikuu cha Beijing Institute of Technology (BIT) kimesaini makubaliano ya kuanzisha ushirikiano na Wakala wa Serikali Mtandao katika utafiti, mafunzo na ubunifu. Makubaliano hayo yamesainiwa leo na Rais wa BIT Prof Zhang Jun na Balozi Mbelwa Kairuki
CH

Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi akitembelea wadau wa kahawa kutoka Tanzania walioshiriki katika siku ya Tanzania katika maonesho ya International Horticulture Expo Beijing nchini China
CH

Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba Kabudi akitembelea wadau wa kahawa kutoka Tanzania walioshiriki katika siku ya Tanzania katika maonesho ya International Horticulture Expo Beijing nc
CH

Mkurugenzi Wa Biashara wa Jimbo la Hubei Ndugu Chen Huasong Nchini China ameshiriki katika mkutano wa kuvutia uwekezaji kutoka Jimbo la Hubei uliofanyika pembezoni mwa mkutano wa kwanza wa China-Africa Economic Expo
CH

Waziri wa Mambo ya Nje Mhe Palamagamba Prof Kabudi afanya mazungumzo na Mkurugenzi Wa Biashara wa Jimbo la Hubei Ndugu Chen Huasong. Aidha, Mhe Kabudi ameshiriki katika mkutano wa kuvutia uwekezaji kutoka Jimbo la Hubei uliofanyika pembezoni mwa mkutano wa kwanza wa China-Africa Economic Expo
 
China hawana maana. Hawawezi kuisaidia Afrika kujenga taasisi imara za kidemokrasia ila wao lengo lao ni kutunyonya tu kwa kushirikiana na watawala wa kiimla wa bara hili wanaowaunga mkono. They're very hopeless fellows these racist Chinese.
 
China hawana maana. Hawawezi kuisaidia Afrika kujenga taasisi imara za kidemokrasia ila wao lengo lao ni kutunyonya tu kwa kushirikiana na watawala wa kiimla wa bara hili wanaowaunga mkono. They're very hopeless fellows these racist Chinese.
Jifunze kushukuru japo Kwa kiasi,hivi haya mabasi,barabara.,na usikute hata kasim unacho tumia ni Tecno ama infinix,all are Chinese
 
Jifunze kushukuru japo Kwa kiasi,hivi haya mabasi,barabara.,na usikute hata kasim unacho tumia ni Tecno ama infinix,all are Chinese
Hawatupi bure hata hivyo. Na sisi wanapashwa kutushukuru kwani wametumalizia Tembo na Faru wote.
 
Hawatupi bure hata hivyo. Na sisi wanapashwa kutushukuru kwani wametumalizia Tembo na Faru wote.
Noted
Kunakauli moja iliwahi tolewa Kwa masihara ila inaujumbe mzuri sana"USIPO KUBALI kuliwa huli"pia usipende cha buree Sana,fanya juhudi wewe unufaike na mwenzako anufaike,that is cooperation
 
Back
Top Bottom