First batch of expected 800 Israeli tourists arrive in Tanzania

Ole

JF-Expert Member
Dec 16, 2006
2,157
975
1576953475971.png

Watalii kutoka Israel wametua KIA leo asubuhi kutembelea vivutio ……. ……… Big up shirika la utalii Tanzania.

Arusha. Tanzania is expecting to receive at least 800 tourists from Israel before the end of 2019 as they plan to visit different tourist attractions for eight days in Tanzania this festive season.

The first group comprising of 150 visitors arrived in the East African country on Saturday December 21, 2019 and were received by the Tanzania Tourist Board (TTB) at Kilimanjaro International Airport.

According to the TTB chairman Judge (retired) Thomas Mihayo, the first batch of 150 Israeli tourists landed at 5:20am.

The board leaders will continue receiving other arrivals from Israel until December 31 when a total of 800 visitors from Israel will have arrived.

"These are positive results of te board’s efforts to secure more markets in the middle and far east countries and we expect to receive more foreign tourists during the year-end days," said Mr Mihayo.

Tanzania is one of the best countries for natural attractions including some which are in the list of the wonders of the world.

Source: The Citizen
 
Magufuli (JPM) ni game changer kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Akimaliza muda wake tutamkumbuka daima, na vizazi vya Tanzania na Afrika vitamkumbuka milele.

Hao waisraeli wameanza kuja hapa nchini kwa kundi kubwa hivyo toka mwaka 2012, na wala hawajaanza ndani ya awamu hii ya tano. Huenda umeanza kuwaona sasa, hivyo unadhani ni jambo jipya. Si vibaya kusifia kwakuwa hiyo hali inakupa faraja, ila hao watalii walianza toka enzi za Kikwete na wala hatumkumbuki.
 
Hawa bk7 washamba sana

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma siku hizi wanapokelewa mpk na waziri mkuu mara kigwangala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waisraeli wameanza kuja hapa nchini kwa kundi kubwa hivyo toka mwaka 2012, na wala hawajaanza ndani ya awamu hii ya tano. Huenda umeanza kuwaona sasa, hivyo unadhani ni jambo jipya. Si vibaya kusifia kwakuwa hiyo hali inakupa faraja, ila hao watalii walianza toka enzi za Kikwete na wala hatumkumbuki.

Siongelei hilo la kuwaleta watalii tu naongelea mambo ambayo atakuwa amefanikiwa akimaliza muda wake. Ni sawa na wewe jinsi unavyofanikiwa kupotosha hapa kwenye mtandao. Utakumbukwa kwa hilo ingawaje unatumia jina bandia.
 
Wamebadilishana na Watanzsnia zaidi ya 50 wamtondoka lro na ndege iliyowaleta, watarudishwa tarehe 28/12/2019 kuja kuwarudia wageni hawa

Watalii kutoka Israel wametua KIA leo asubuhi kutembelea vivutio ……. ……… Big up shirika la utalii Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Siongelei hilo la kuwaleta watalii tu naongelea mambo ambayo atakuwa amefanikiwa akimaliza muda wake. Ni sawa na wewe jinsi unavyofanikiwa kupotosha hapa kwenye mtandao. Utakumbukwa kwa hilo ingawaje unatumia jina bandia.

Nilitegemea ww unayesifia utumie verified user, lakini na wewe unatumia fake I'd kama mimi. Hilo la watalii ulilioongelea kama ni jambo lililoanza awamu hii, kwa bahati mbaya hukuwa na taarifa sahihi, nimekupa taarifa sahihi umejifanya unazungumza mafanikio ya ujumla, ili kushusha hasira zako, umeishia kwenye personal attack! Hilo la personal attack naona ni njia yako kubwa ya kufanya utetezi, nimeona kuna mahali unaniambia nitawadanganya wachaga wenzangu, kwa mantiki ya kuwa kila asiyetoa maoni unayoyapenda ni mchaga! Umetaja hata hiyo treni kwenda moshi kwa maana ya kwamba hata wachanga wanaohudumiwa, acha hoja zenye chuki za ukabila dogo.

Kama ni kukumbukwa sio yeye tu, bali kila rais anakumbukwa kwa mazuri na mabaya yake. Sasa sioni kwanini uone kama kukumbukwa itakuwa ni kwa haya yanayokufurahisha tu.
 
Watalii 500 wanatarajiwa kutoka China kabla ya mwezi march 2020 habari kamili zipo hapo chini kwenye hii link. Vile vile CNN wapo live kwa wiki hii nzima kuitangaza Serengeti kwenye vipindi vyao kila kunapokuwa na Break. Hii imekuwa kwa wiki ya pili mfululizo sasa. Hongera kwa wote wanaofanikisha matangazo haya kwenye International broadcasters … …. also at the bottom another link CEO wa Bank moja kutoka USA anakwenda kupanda Kilimanjaro … …. …. Ding …. Dong.

Nilitegemea ww unayesifia utumie verified user, lakini na wewe unatumia fake I'd kama mimi. Hilo la watalii ulilioongelea kama ni jambo lililoanza awamu hii, kwa bahati mbaya hukuwa na taarifa sahihi, nimekupa taarifa sahihi umejifanya unazungumza mafanikio ya ujumla, ili kushusha hasira zako, umeishia kwenye personal attack! Hilo la personal attack naona ni njia yako kubwa ya kufanya utetezi, nimeona kuna mahali unaniambia nitawadanganya wachaga wenzangu, kwa mantiki ya kuwa kila asiyetoa maoni unayoyapenda ni mchaga! Umetaja hata hiyo treni kwenda moshi kwa maana ya kwamba hata wachanga wanaohudumiwa, acha hoja zenye chuki za ukabila dogo.

Kama ni kukumbukwa sio yeye tu, bali kila rais anakumbukwa kwa mazuri na mabaya yake. Sasa sioni kwanini uone kama kukumbukwa itakuwa ni kwa haya yanayokufurahisha tu.

At least now you came out of your shell. Na sasa unaonyesha dhamira yako ya kutaka kufahamu mimi ni nani? Hapo umenoa mimi ni Mwanzilishi vile vile sio kama Max lakini ni wale ambao kwa njia moja au nyingine tulifanikisha kuwepo kwa JF if you wish AO if you know what I mean. Max will continue to be the King na wewe (I mean not you personally) ambao mnataka kumpotosha na genge lako. Hamtafanikiwa Uchaga wako ni wa association kama wewe sio mchaga kwa sababu mpo hapa kupotosha kitu ambacho kinahuzunisha kuona kwamba Watanzania ambao mmesomeshwa kwa pesa za walipa kodi leo hii mnasaliti fadhila za walipa kodi wa nchi hii. Mimi sijasema watalii wameanza kuja awamu hii unaweza kunionyesha niliposema hivyo?

Kuhusu treni ni wewe pamoja na Chadema ambao nawaona mnatapatapa sasa kwa sababu mlisema JPM anawabagua na kuleta Ukanda na nyinyi Wachaga or Chadema mnaonewa wivu etc. Tanzania sio Wachaga pekee?

Waswahili walisema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchungu, sio wewe na genge lako ambao mnapinga kila kitu kinachofanywa na awamu ya 5? Then hiyo treni ya kwenda Moshi iliwekwa na Chadema? Usilalamike kuhusu personal attacks kwenye jina la bandika kwa sababu mnapomporomoshea JPM matusi kila uchwao hamuoni kazi kubwa anayoifanya. (Mbona BWM na JMK hawakuweza?) BWM aliuza mashirika yote na kuua ATCL kwa kushirikiana na SA. JMK alifilisi nchi kwa mikataba mibovu na kuvinjari yeye binafsi na kupewa jina la Vasco da Gama. Leo hii mnamlaumu JPM kwa lipi hasa? Kuleta maendeleo kwa kila Mtanzania? Acha personal attacks lalamika pale kwenye makosa sio kwa sababu ya chuki binafsi, na laumu pale panapokubalika sio kwa kejeli kama ilivyo hivi sasa JF.

Mkuu sina chuki na wewe binafsi wala sikuombei njaa nakuombea mafanikio tele bali tuwe wakweli kwa kile tunachoongea japo tupo kwa majina ya bandia. Mimi sihitaji unifahamu kwa sababu kazi yangu ni kutoa shukran kwa nchi yangu Tanzania na kuandika ukweli na kuweka yale yaliyo sahihi sio kuonea gere au chuki. Sihitaji shukrani yoyote ya kutendewa na watanzania zaidi ya michango yangu ya kueleza ukweli tupu. Kama sifahamu kitu hutaniona nachangia au kupotosha.

Sikukuu njema na hongera za mwaka mpya panapo majaliwa.
 
Back
Top Bottom