Fireboy, Rema na Joeboy wameibuka kwenye mziki wa Nigeria na wanatamba sana

Wote hao baba yao ni Diamond Platnumz, wakitaka kuuza collable basi wampe Baba lao
 
Mkuu kwa simu yangu nina nyimbo 1902 my most listened song ni za Fireboy DML.
BY the way Burna boy ajipange saana kwa huyu bro wangu.

Hizi nyimbo ni hatari.
God knows, shade, lifestyle, vibration. lazima nizisikilize kila sikuView attachment 1612040
Mkuuu mbona unamvunjia heshima Burna Boy...huyo dogo yuko vizuri ila sio kwa level za kumlinganisha na Mabig fish kama Burma boy.
 
Mkuuu mbona unamvunjia heshima Burna Boy...huyo dogo yuko vizuri ila sio kwa level za kumlinganisha na Mabig fish kama Burma boy.
Sikatai mkuu. Kiupande wangu mziki wa fireboy unaendana na kichwa changu mkuu siyo burna boy
 
Mkuu kwa simu yangu nina nyimbo 1902 my most listened song ni za Fireboy DML.
BY the way Burna boy ajipange saana kwa huyu bro wangu.

Hizi nyimbo ni hatari.
God knows, shade, lifestyle, vibration. lazima nizisikilize kila sikuView attachment 1612040
Haya majina matatu (Davido, Wizkid,Burna Boy) yape heshima kwanza ndio utaeleweka unachosema, hao wana ligi yao pekeyao
 
Haya majina matatu (Davido, Wizkid,Burna Boy) yape heshima kwanza ndio utaeleweka unachosema, hao wana ligi yao pekeyao
Ndo shida ya watu..huwezi kuwaweka kapu moja Wizkid,BurnaBoy na Davido na hizi sura mpya..ni kuwakosea heshima,japokuwa hizi sura mpya zinafanya vizuri for the meantime
 
Ni ya moto sana hiyo ngoma

Sijui wasanii wetu wanakwama wapi, ukisikia kuna collabo ya super star wetu bongo na msanii wa nje ujue kafanya na Mohombi au Neyo
Mkuu sijui shida inakuwa wapi, mara nyingi tunafanya ngoma n la wasanii waliopotea au wanaoenda potea....hii ngoma ni kali sana na Ed sheeran ameitendea haki sana.
 
Mkuu sijui shida inakuwa wapi, mara nyingi tunafanya ngoma n la wasanii waliopotea au wanaoenda potea....hii ngoma ni kali sana na Ed sheeran ameitendea haki sana.
Shida ni kwamba wasanii wetu wanaojiita wakubwa hawaimbi mziki unaotutambulisha kimataifa. Utakuta msanii anataka asikike kama msauzi na amapiano au anataka asikike kama mnaija, sasa kwa wasanii wakubwa huko nje na record label kubwa watataka kufanya na yule mtu mwenye sound original sio hii ya kama fulani ya kuunga unga
 
kiufupi wanaija hatuwezi kuwafikia kamwe.
Reekado banks huyu anajua sana ule wimbo unaitwa rora yaani daah siuchoki

Joeboy magoma yake mengi yanapigwa sana club "baby", "show me" nk.

Huku unamkuta rema na ile "beamer" na sounds gam" unayarudi wee kisha unarudi zako kwa Fire Boy unamalizia madude ***** 😀😀
 
Fireboy DmL,Joe Boy,Rema

Kwa sasa kwenye mziki wa Nigeria kuna Wasanii wameibuka na wanafanya vizuri sana Kama Rema,Joeboy,Fireboy au Mayorkun, N.k

Rema alitamba sana na EP ya Bad Commando ambayo ilipelekea raisi mstaafu Barack Obama kuiitaja ngoma yake ya Iron Man kwenye Playlist yake. Rema anafanya vizuri pia...

Joe Boy mdundo wa Baby umesumbua sana na ngoma nyingine nyingi kama Don't Call me Back akiwa na Mayokurn na zingine nyingi ambazo zimefanya vizuri.

Nimewasikiliza Wengi Lakini huyu Fire Boy DML kwa nionavyo ni zaidi ya wote,Fireboy DmL ni zao la Olamide....Anafanya vizuri mno Alianza kutamba na mkwaju wa Jeaulos.

Album zake mbili zimefanya vizuri Sana.

Album ya Laughter,Tears&Goosebumps Album hii imebeba midundo kama Need You,Vibration,Jeaulos,What if say,King zote ziache kuna mdundo unaitwa Wait and see🙌🙌 N.k

Juzi tu ameachia album ya Apollo kuna midundo kama Champions,Tattoo,Afar ft Olamide,New york city girl...

Dogo anaimba sana pia Lyrics zake ni nzuri......

Nafikiri Fireboy DmL ni zaidi yao Wadau mnaonaje?

Ni muda wa kina Marioo kutafuta Collaboration na watu kama hao.
joeboy yupo vzri nakumbuka nilifanya intervie na Joe pale Arusha ila Rema ni shida nyngne
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom