Fire department orders compulsory fire extinguishers for homes, offices, vehicles

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,007
Fire department orders compulsory fire extinguishers for homes, offices, vehicles


By ThisDay Reporter & Agencies

1st February 2010


DAR ES SALAAM Regional Commissioner William Lukuvi, has temporarily blocked a controversial plan by the fire and rescue force department in the Ministry of Home Affairs to start charging motorists for inspection of fire extinguishers in their vehicles.

At the same time, the fire department will from this month begin a campaign intending to sensitise the public on the importance of installing fire extinguishers in residences as well as business premises countrywide.

According to the department's deputy commissioner (supervision & monitoring), Rogatius Kipali, the exercise is in fulfillment of the Fire and Rescue Force Act No. 14 of 2007, which started being applied in 2008.

The legislation gives the fire department powers to prosecute those who don't abide by its guidelines and regulations.
"There is nothing new in this exercise. We are effecting and implementing the law on fire extinguishers that demands that all motorcars, airplanes, and buildings to be equipped with fire extinguishers for protection in case of fire outbreaks," Kipali said in an exclusive interview with THISDAY.

He said in the case of storeyed buildings, each flat will be charged 40,000/- minimum for the installation of fire extinguishers. The price will also involve business premises which are non-storeyed buildings.

"According to the law, all residences are supposed to be installed with fire extinguishers as a precaution against fire outbreaks," Kipali said.
Each residence will be required to pay only for the installation of fire extinguishers, while the fire department will provide free instructions on how to use them.

"Obviously the price will be low for ordinary people, compared to business people," he stated.
The exercise is expected to be implemented countrywide, but to start with it is being practiced in the urban areas where there are more incidences of fire outbreak.

Meanwhile, Dar es Salaam RC Lukuvi told THISDAY that he has already issued directives to the fire and rescue force department on the implementation aspects of the exercise.

Lukuvi said he has also ordered the department to stop inspecting vehicles on the roads without following proper procedures, including creating public awareness on the importance of the exercise.
"We can't just do things without proper planning and informing the people," the RC asserted.

The department has also been directed to give prominence to buildings over vehicles because they are more prone to fire outbreaks.
"A plan of action is being prepared and we will discuss it together," Lukuvi said.

The exercise of installing fire extinguishers and inspecting vehicle stickers began some months ago but raised various complaints from vehicle owners for perceived irregularities.

One complaint has been over the cost of the exercise. There are also allegations that some traffic police officers have been taking advantage of the exercise to 'fine' motor vehicle owners who have not installed the gadgets, and omitting to issue receipts for payment.

Responding to the allegations, Kipali said traffic police officers who 'fine' vehicle owners and dealers who supply fire extinguishers without issuing receipts are outright thieves.

"The income derived from installation of fire extinguishers and stickers goes into the government coffers. The dealers who supply the fire extinguishers are supposed to pay a certain fee to the government, apart from the normal taxes for business operations," Kipali explained.
"Any party that collects these monies for personal benefit is a thief and should be arrested," he added.
 
Hivi kabla ya kufanya hivyo wamehakikisha magari yao mazima, Fire Horse zinafanyakazi, pump, na kuongeza vituo vya kujazia mai kwenye makazi ya watu na maeneo ya biashara, maana huo ni wajibu wao wa kwanza., wakisha weka nyumba yao safi ndio waendele kuwauliza wengine.
 
Mimi ninaona hapa kuna mchezo wa kuigiza. Jukumu la Fire Department si kukagua fire extinguishers kwenye magari au kwenye makazi ya watu. Nafikiri kuwa jukumu lao kubwa kwa sasa ni kuhakikisha kuwa huduma ya Zimamoto inakuwa karibu zaidi na wananchi. Kwa mfano Jiji la Dar es Salaam linaendelea kupanuka, lakini hatujawasikia wakielezea mikakati yao ya kukabiliana na upanukaji huo. Je, wanaweza kutuambia ni kwanini hadi leo kunakituo kimoja tu cha Zimamoto kwa jiji zima pale Faya kinachotarajiwa kutoa huduma hadi Bagamoyo, Kibaha, Kisarawe, Mkuranga???!!!!!
Juu ya uwekaji fire extinguisher katika majengo, hii ni kazi inatakiwa kufanywa na wakaguzi wa majengo wa Jiji pale majengo yanapokamilika na baada kuwa routine check.
Juu ya vifaa vya zimamoto katika makazi ya watu kitu kikubwa ni kuhamasisha wananchi kwa kuwapa elimu itakayowafanya wafikie maamuzi lakini siyo kuwalazimisha kama ng'ombe. Wahimizeni wananchi wakatie Bima mali zao dhidi ya majanga na wala si kuwalazimisha.
Toeni elimu ya kutosha ambapo hata wananchi wajiwekee ving'amua moto majumbani, mashuleni na sehemu zingine.
Maisha sasa hivi ni magumu, serikali inashindwa ku-fund bajeti yake, sembuse wananchi wa kawaida?
Au formula ni ile ile, gavana, genereta, mikanda,...sasa fire extinguishers?
 
Mimi ninaona kuwa, wanashindwa kushughulikia matatizo ya msingi pamoja na chanzo chake. Badala yake wanashughulikia dalili zake. Nimekuwepo DSM kwa muda mrefu kidogo sijasikia/kuona gari limeugua na kuua waliomo, isipokuwa kwa basi la Mohamed Trans lililoungua hivi karibuni. Tunasikia/tumeona kuugua kwa nyuma na hasa mabweni ya wanafunzi ndiyo yanaleta maafa zaidi - katika swala ujenzi wa nyumba (mipango) miji ndiyo inayopashwa kushughulikiwa kwanza. Nahisi huu ni mradi mwngine wa wajanja fulani!
 
Kuna wajanja wameleta makonten kibao ya hizo gadgets toka China...wale waliouza Mabenzi ya zimamoto kwa halmashauri kibao....
 
Ujanja huu umeshapata wajanja. Last week walinijia wawili wakipose
kama wahusika wa ukaguzi wa vifaa vya zima moto kamili na vitambulisho
vyao. Mmoja anajitambulisha kama sergent wa polisi. Walinipa form nijaze
na kuniomba shs. 100,000. kama ada ya kutowa certificate. Niligutuka
nikawa fukuza. Ni vijana wawili wembamba, hupita madukani na kuifanya
hiyo shughuli. TAKE CARE wenye maduka.
 
Back
Top Bottom