Finn’s Facts: Ignore Zitto Kabwe and Dr Idris Rashidi’s pro-Dowans talk

Zito hapa kuhusu Dawans anaiaibisha hata CHADEMA yake.Mitambo ya utapeli anashabikia,eti ni hasara kununua mipya kama ni lazima,ukinunua ya Dawans Rostam atatoa Guarantee?Kwa hiyo mitambo mtumba kwa Zitto sawa shame on you Zitoo naona ushabiki unamzuzua kijana huyu anaanza kulewa masifa.Ngoja uiangamize CHADEMA yako kwa kushabikia ujinga,sijui kaonjeshwa halua?
 
Hawa wanamtumia Zitto wakiamini Zitto anasikilizwa na kila mtu,ajabu ni kuwa hawaelewi kwa sasa WaTanzania wengi wanatazama masilahi ya nchi kwa ukaribu ,mitambo hiyo ni kutaifishwa tu ,Utawala wa CCM umetapakaa mivi na mtu yeyote yule atakaejaribu kuukumbatia kwa namna yeyote basi ajue na yeye atatapakaa mivi na kuchanganywa na utawala uliopo madarakani ,hata jambo liwe na manufaa kwa wakati huu tunasema kaa chonjo saa mbaya.
 
Unaikumbusha ya caesar na brutus katika tamfilia ya wiliam shakespear

zito utakaporudi kigoma kaskazini 2010, watakusulubu kwa mfano wa caesar na brutus, kaisome hiyo tamthilia
 
Unaikumbusha ya caesar na brutus katika tamfilia ya wiliam shakespear

zito utakaporudi kigoma kaskazini 2010, watakusulubu kwa mfano wa caesar na brutus, kaisome hiyo tamthilia

Zitto ni mgeni katika siasa ,anakumbuka Maalim Seif alipomwambia Kikwete kuwa ni mdogo kwake ,akimaanisha akimaanisha kisiasa, Zitto afahamu kuwa kama anataka kujiweka katika upande wa upinzani basi akae na wapinzani asikubali kwa hali yeyote ile hata kama jambo lina manufaa kwa Taifa kisiasa litamwangusha tu hana ujanja ,na ndio kama tunavyoanza kuona ,na ndio matamanio ya CCM ,watamtumia kisha watamtupa ,na kumpa kazi kama ya Tambwe hiza.

Katika siasa mara nyingi huwa nasema kuwa usijaribu kuiunga mkono serikali iliyoko madarakani hata kwa jambo la ukweli ,kwa vyovyote vile utafute propaganda zozote ulipinge juu chini uligeuze jambo lolote la serikali na kulitia ila mbele ya macho ya wananchi ,jamani ndio pakaitwa upinzani ,hawa akina maali Seif wamelalamikiwa sana juu ya kuipongeza serikali na vyombo vyake vya dola ,na siku hizi wamekaa sawa.

Maana kwa kila watakalolitenda serikali hii mbovu iliyojaa ubabaisha ,unaweza kuwapinga na kuwatia ila kwa jambo lolote lile watakalolifanya hata liwe la kweli ,maana serikali ikisema Mtwara kuna mikoroshi mingi upinzani unatakiwa useme serikali inasema uongo Mtwara hakuna mikoroshi kuna magogo tu ,au serikali ikisema Tanga kuna mkonge mwingi upinzani unatakiwa useme hakuna mkonge kuna msitu wa miba tu ,natumai nimeeleweka.
 
--------------------------------------------------------------------------------

Zito hapa kuhusu Dawans anaiaibisha hata CHADEMA yake.Mitambo ya utapeli anashabikia,eti ni hasara kununua mipya kama ni lazima,ukinunua ya Dawans Rostam atatoa Guarantee?Kwa hiyo mitambo mtumba kwa Zitto sawa shame on you Zitoo naona ushabiki unamzuzua kijana huyu anaanza kulewa masifa.Ngoja uiangamize CHADEMA yako kwa kushabikia ujinga,sijui kaonjeshwa halua?

The Following User Says Thank You to mmaroroi For This Useful Post:
Zitto (Today
)

Nawapenda wana siasa. Utamsemea ovyo ila yeye anasema wee chonga tu, ila mwisho wa siku naishi kwa kodi yako na anakupa ASANTE .... tee tetee teeeee :)
 
Zitto ni mgeni katika siasa ,anakumbuka Maalim Seif alipomwambia Kikwete kuwa ni mdogo kwake ,akimaanisha akimaanisha kisiasa, Zitto afahamu kuwa kama anataka kujiweka katika upande wa upinzani basi akae na wapinzani asikubali kwa hali yeyote ile hata kama jambo lina manufaa kwa Taifa kisiasa litamwangusha tu hana ujanja ,na ndio kama tunavyoanza kuona ,na ndio matamanio ya CCM ,watamtumia kisha watamtupa ,na kumpa kazi kama ya Tambwe hiza.

Katika siasa mara nyingi huwa nasema kuwa usijaribu kuiunga mkono serikali iliyoko madarakani hata kwa jambo la ukweli ,kwa vyovyote vile utafute propaganda zozote ulipinge juu chini uligeuze jambo lolote la serikali na kulitia ila mbele ya macho ya wananchi ,jamani ndio pakaitwa upinzani ,hawa akina maali Seif wamelalamikiwa sana juu ya kuipongeza serikali na vyombo vyake vya dola ,na siku hizi wamekaa sawa.

Maana kwa kila watakalolitenda serikali hii mbovu iliyojaa ubabaisha ,unaweza kuwapinga na kuwatia ila kwa jambo lolote lile watakalolifanya hata liwe la kweli ,maana serikali ikisema Mtwara kuna mikoroshi mingi upinzani unatakiwa useme serikali inasema uongo Mtwara hakuna mikoroshi kuna magogo tu ,au serikali ikisema Tanga kuna mkonge mwingi upinzani unatakiwa useme hakuna mkonge kuna msitu wa miba tu ,natumai nimeeleweka.

Loo! hii ni hatari kweli. Naona jamaa umemua kukejeli. Zitto abaki na msimamo wake ule ule na historia itatambua ukweli wake. Watu waongo kila siku hupata faida ya muda mfupi lakini baada ya muda mrefu historia huwaumbua. Muangalie Rais George Bush na vita vya Iraq. Jamaa kadanganya wee mpaka leo kaondoka urais akiwa na lowest ranking in the history of American presidency.

Mtu aseme kweli tupu hata kama wengi hawaupendi ukweli wenyewe. Hakuna maana yeyote ya ku stay on top kwa kusema uongo au kwa kuachia taifa liathirike.
 
Dear hon. Zito, i clearly see the point in the arguments you have put forward to support the idea of buying dowans turbines. I am fully convinced that you are absolutely right. But i just want to remind you one thing.

To make an economic decision we need to carryout analysis. Based on the level of subjectivity we have two main types of analyses; positive and normative analysis. The difference between the two is that positive analysis is based on empirical reasoning while normative analysis introduces subjectivity in the reasoning. In other words, positive economics deals with "what is" whereas normative economics addresses the issue of "what ought to be". Both are important.

I will give you an example to make myself clear. Suppose you secure a consultancy work from the revolutionary government of zanzibar to investigate and recommend the way to curb the problem of protein deficiency in zanzibar. As an economist, you carry out cost-benefit analysis for different type of protein sources, and realise that the protein that can be made available at affordable cost for the majority of zanzibaris is pork. Up to this point what you have carried out is positive economic analysis. Now the issue is whether you could go ahead and recommend this to the government for implementation! Having taken into consideration of values and norms of the zanzibar society you may be forced to opt for the second best alternative source of protein. When you do that you have carried out normative analysis.

The same applies to the dowans saga. Mh. Zito, you have done your homework well on the positive analysis side. It is now time to take on board normative aspects in the analysis, i.e. The dubious environment surrounding the richmond/dowans drama and the negative feelings people have on it.

On this background mh. I advise you to forfeit the idea of buying these turbines and opt for the next best alternative.

Regards,

Dr. Damian M. Gabagambi
Lecturer
Sokoine University of Agriculture
Department of Agricultural Economics and Agribusiness
P.o.Box 3007
Morogoro - Tanzania

tel: (+255 232) 603415 (office)
mob: (+255 744) 501541
fax: (+255 232) 600968 (office)

huu ni ushauri mwingine kwa mh.zito
 
Back
Top Bottom