Finn’s Facts : Ndulu should speed up sacking sons and daughters of elites at BoT

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,005
Finn’s Facts : Ndulu should speed up sacking sons and daughters of elites at BoT

FINNIGAN WA SIMBEYE
DAR ES SALAAM

BANK of Tanzania governor’s office has confirmed that it is currently reviewing employment details of some of the political and bureaucratic elites employed at the central bank.

Several names of sons, daughters and kin and kith of government and ruling party elites are currently working with the central bank where acts of massive embezzlement and corrupt deeds have been made under former governor, the late Daudi Ballali.

An audit report by Massawe Ernst & Young on Bank of Tanzania (BoT)’s external arrears payment account earlier this year caused shock waves when it was revealed that 22 shell companies were paid over 133bn/- in 2005/6 fiscal year.

A list of shame that circulated in cyberspace for sometime earlier this year, named several names of former prime ministers, presidents, cabinet ministers ruling party secretary general and chief secretaries whose sons, daughters or close relatives are on BoT’s payroll.

Soon after the list of shame started circulating, the opposition pressed parliament to select a probe team which would look into various irregularities at the central bank including loss of billions of shillings not only from the external arrears payment account but also links to employment of high profile public officials’ kin and kith

Reports says actually most of these controversial employees of the central bank have neither the requisite qualifications to fit into jobs which they currently serve. Others are currently attending classes at the Institute of Finance Management, Mzumbe University and other foreign universities with presence in the country.

It looks like the employment criteria at the central bank favours people related to former presidents, prime ministers, ministers, some chief secretaries and so on and so forth, any explanation?

I don’t really think that these sons and daughters of political and bureaucratic heavy weights both current and past, have no right or are ill qualified to work at the central bank, but my concern is why is BoT looking like a favourite place for them to work?

It’s a fact that most of these sons, daughters and relatives of political and bureaucratic elites are well qualified, with academic credentials like degrees of course, because most of them either study abroad or the best schools right here at home.

But having a degree from Harvard or Cambridge Universities is one thing and competence is a completely different matter. The fact that the man who was in charge of employment at the central bank has been relieved of his duties shows that all is not well.

Normal thinking convinces me that in as far as some of the modern thieving Tanzanian politicians and bureaucrats are, their children and relatives got employed at the BoT strictly on know who and not how. I am not saying all of them, no. But I am sure a good number of them.

It’s no coincidence that names of politicians and bureaucrats who have already made newspaper headlines for their role in corrupt or thieving deals while in public office, are featuring prominently on the BoT big shots� list of children and relatives.

I won’t be amazed to find out that some of the na�ve children and relatives of the political and bureaucratic elites who are occupying positions at the central bank, lack both qualifications and experience required to fill their jobs.

This is what central bank Governor, Professor Benno Ndullu and his new team of administrators and managers should start with. Cleansing the central bank is more than sacking Ballali, shuffling several BoT officers and calling a press conference to defend the astronomical price of BoT twin towers.
 
Najua kuwa wewe ni mmoja wa masadist,lakini napenda kukwambia kuwa hakuna hata mtoto mmoja wa kigogo atakaeondoka pale BOT.wamekaa kwa uwezo wao na wataondoka kwa mapenzi yao na si kwa majungu wala fitna.huyo ndulu hana ubavu wa kumtoa yeyote hapo.ajaribu basi aone.
 
Fisadi mtoto hayo maoni yako ni kuchochea hoja au response toka kwa wanaJF au? nashindwa kuelewa nini unachotaka kutuambia hapa. Kwa taarifa yako tayari watoto wa vigogo ambao hawana vyeti vinavyostahili wamekwishaanza kuondolewa na sasa kinachosubiriwa ni kuona kama taratibu zilifuatwa katika kuwaajiri na hao wengine wenye vyeti. Kinachogomba hapa ni kama kulikuwa na nepotism/favouritism kwenye kuwaajiri lakini kama itathibitika pasi na shaka kwamba ajira zao zilikuwa kwa merit Ndulu atawaacha lakini hakika kama taratibu hazikufuatwa watapigwa chini. Ni hayo tu.
 
ooh really, mbona hatujasikia hiyo
leta news... nani kafukuzwa kwa hii issue ktk ile list?
 
Najua kuwa wewe ni mmoja wa masadist,lakini napenda kukwambia kuwa hakuna hata mtoto mmoja wa kigogo atakaeondoka pale BOT.wamekaa kwa uwezo wao na wataondoka kwa mapenzi yao na si kwa majungu wala fitna.huyo ndulu hana ubavu wa kumtoa yeyote hapo.ajaribu basi aone.

Fisadi mtoto,
You are entitled to say anything..ila ujue pia kuwa hata wasipoondolewa watajiondoa wenyewe tu..maana they have already been named and shamed..they wont feel comfortable mixing and mingling with a crowd of those who got in on merit... na siyo kwa mgongo wa baba, mjomba au shangazi.... nguvu ya umma ndo itawapa the sack.. na wataondoka kwa aibu hata kama wana vyeti kwa kusoma shule wakilipiwa bei mbaya kwa pesa ya maskini mvuja jasho..UFISADI!
 
Huyu Ndullu hawezi ku fire watoto wa wakubwa. Ameshasema hajui cha kufanya! Soma mstari mwekundu hapo chini utashika tama.

Watoto wa vigogo BoT hatarini

Tanzania Daima 5-30-2008
na Salehe Mohamed

UCHUNGUZI uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuhusu ajira za upendeleo kwa watoto, ndugu na jamaa za wakubwa ndani ya Benki Kuu (BoT), umekamilika.

Kukamilika kwa uchunguzi huo kulitangazwa mbele ya waandishi wa habari jana na Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu.

Ingawa hakuwa tayari kusema kile kilichomo ndani ya taarifa hiyo kwa maelezo kuwa TAKUKURU ni taasisi inayojitegemea, Gavana Ndulu alisema, tayari BoT imeshaanzisha uchunguzi wake mwingine kufuatilia suala hilo hilo la ajira.

Gavana Ndulu alisema kuwa katika uchunguzi wake, TAKUKURU ilikuwa ikichunguza ajira za watu 14 wanaohusishwa na viongozi waandamizi kulingana na maelezo waliyopewa na ngazi husika.

Alisema baada ya kupata taarifa hiyo ya TAKUKURU, BoT nayo ikaamua kuanzisha uchunguzi wa ajira za wafanyakazi wake wote, ili kuepusha malalamiko kutoka upande fulani pamoja na kuepuka kupelekwa mahakamani.

“Wale TAKUKURU walifanya uchunguzi wa ajira za watoto wa vigogo kulingana na maelezo waliyopewa, lakini sisi tunataka kufanya uchunguzi wa ajira za wafanyakzi wote,” alisema Ndulu.

Alisema kuwa ndani ya BoT kila mfanyakazi ni sawa, awe mtoto wa kigogo au wa mkulima, ndiyo maana wameamua kuwashirikisha wafanyakazi wote kwenye uchunguzi huo.

“Unajua leo hii ukifanya uchunguzi wa ajira za watoto wa vigogo pekee, kesho unaweza kujikuta hata hao watoto wa wakulima nao walipata ajira kwa njia zisizokubalika,” alisema Ndulu.

Aidha, alisema uchunguzi wao utakuwa tofauti zaidi, kwani wao watafuata sheria ya mwaka 2004 (iliyobadilika), wakati TAKUKURU walitumia sheria ya mwaka 2000.

Ndulu hakuwa tayari kufafanua utofauti wa sheria hizo, lakini alidai kuwa katika uchunguzi huo, TAKUKURU haikutumia sheria iliyotumika kuwaajiri watoto hao.

“Hapa kunaweza kutokea tofauti ya kutokuelewana na jamii ikachukulia vibaya mambo haya, kwani sheria zilizotumika kufanya uchunguzi zilishabadilishwa, sasa sijui itakuwaje,” alisema Ndullu.

Aidha, alisema ni vizuri jamii ikavuta subira ya kupata matokeo ya uchunguzi wa BoT kuhusiana na ajira za wafanyakzi wake na asingependa kutoa matarajio ya kazi hiyo mapema.

“Jamani nisingependa kuwaahidi nyinyi au wananchi wengine hivi sasa matarajio ya uchunguzi wetu, bali ninawaomba tungoje hayo matokeo,” alisema.

Hivi karibuni, vyombo mbalimbali vya habari vilitoa taarifa na kutaja majina ya watoto wa vigogo ambao wanafanya kazi BoT, wakisadikiwa kuwa walipata kazi hizo kutokana na ushawishi au nafasi za ndugu zao.

Taarifa hizo pia zilinukuu viongozi wa TAKUKURU wakidai wanachunguza ajira za watoto hao wa vigogo kuona kama walipata ajira BoT bila kufuata taratibu zilizotakiwa.

Juhudi za Tanzania Daima kumtafuta Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Edward Hosea, kuthibitisha kukamilika kwa uchunguzi wa ajira za watoto wa vigogo hao ziligonga mwamba baada ya simu yake kutokuwa na majibu.

Taarifa kwamba kulikuwa na ajira za upendeleo ndani ya BoT kwa mara ya kwanza zilisambazwa katika mtandao wa intaneti kabla vyombo kadhaa vya hapa nchini kuripoti taarifa hizo.

______________________

CEO wa maana hata siku moja hawezi kusema ameishiwa na maamuzi na hajui itakavyokuwa. Anasema sheria za zamani na mpya zina confict, maana yake ni ishu ngumu. Lakini yeye ndio Mkulu, anatakiwa atatue hilo tatizo la wanasheria wake na wa serikali. Asipotatua nani atatatua hilo tatizo, Mtikila?

Huyu CEO ni kwa sentensi hiyo tu, lazima umtilie mashaka!
 
Fisadi mtoto hayo maoni yako ni kuchochea hoja au response toka kwa wanaJF au? nashindwa kuelewa nini unachotaka kutuambia hapa. Kwa taarifa yako tayari watoto wa vigogo ambao hawana vyeti vinavyostahili wamekwishaanza kuondolewa na sasa kinachosubiriwa ni kuona kama taratibu zilifuatwa katika kuwaajiri na hao wengine wenye vyeti. Kinachogomba hapa ni kama kulikuwa na nepotism/favouritism kwenye kuwaajiri lakini kama itathibitika pasi na shaka kwamba ajira zao zilikuwa kwa merit Ndulu atawaacha lakini hakika kama taratibu hazikufuatwa watapigwa chini. Ni hayo tu.
SIPENDI MKAE KWA KUJIDANGANYA KILA SIKU KUWA NDULU ANAWEZA FANYA LOLOTE,ALIWADANGANYA KUNA WATU WAMESIMAMISHWA BOT BT NATHUBUTU KUWAAMBIA HAKUNA MTU KASIMAMISHWA PALE.PILI HAKUNA MTOTO WA MKUBWA ATA MMOJA AMEONDOLEWA PALE.HAKUNAMTAJE HATA MMOJA KWA JINA.
 
Fisadi mtoto,
You are entitled to say anything..ila ujue pia kuwa hata wasipoondolewa watajiondoa wenyewe tu..maana they have already been named and shamed..they wont feel comfortable mixing and mingling with a crowd of those who got in on merit... na siyo kwa mgongo wa baba, mjomba au shangazi.... nguvu ya umma ndo itawapa the sack.. na wataondoka kwa aibu hata kama wana vyeti kwa kusoma shule wakilipiwa bei mbaya kwa pesa ya maskini mvuja jasho..UFISADI!
WAKO PALE KWA POWER OF THEIR KNOWLEDGE NA SIO KUBEBWA BALI NI EXPOSURE WALIZO NAZO JUU YA MAMBO MBALIMBALI,NITAJIE WATATU TU AMBAO KAZI WANAYO FANYA HAIENDANI NA MERIT ZAO.WEWE MTOTO WA MKULIMA UJE TU DAR UNATAKA KAZI BOT?WAKATI ATA AKIBA BANK HUJAWAHI KUFANYA...MARA YA KWANZA KUJA DAR ULIKUWA UNAANZA UDSM MWAKA WA KWANZA.HAHAHAHAHAHAHAHA
 
Ni kweli wapo hapo kwa merits zao, baba zao waliwasomesha masters kwa kutumia pesa za rushwa ambazo wanajua kuwa kwa gharama za masters especially nje ya nchi hakuna mtoto wa mlalahoi hata mmoja ambaye ataweza kusoma.

Kuwaondoa haitawezekana unless walivunja taratibu za uhajiri na kuwapendelea lakini kama hawakuwapendelea then hawawezi kuondolewa, ili wanalifanya kwa makusudi kwa kuua elimu yetu nyumbani na kuakikisha watoto wao wanasoma nje ya nchi ili waje kuajiriwa sehemu nyeti waweze kulinda masirahi yao.

Katika elimnu ya mtanzania tumeshakuwa na matabaka, matabaka ya shule za mkapa kama zinavyoitwa na academia kwa shule za msingi na matabaka ya international na shule za Lowasa kama zinavyoitwa na wananchi, hizi shule za mkapa na lowasa ukifika unaweza ukasema ni madarasa ya masomo ya ziada ambayo mwalimu wa shule amemua kuanzisha ili kijipatia kipato cha ziada. Hizi shule hazina ofisi za walimu, hazina maktaba, hazina mahabara na hazina vitabu, hivi nazo hizi kwenye shule zimo?

Watoto wa walalahoi haitawezekana hata siku moja kupata elimu ya kumtosha kuajiliwa BOT ila wanawaandaa kuwa makarani na makatibu wa vijiji na kata. Huu ni mfumo aliotumia mkoloni wakati huo.
 
WAKO PALE KWA POWER OF THEIR KNOWLEDGE NA SIO KUBEBWA BALI NI EXPOSURE WALIZO NAZO JUU YA MAMBO MBALIMBALI,NITAJIE WATATU TU AMBAO KAZI WANAYO FANYA HAIENDANI NA MERIT ZAO.WEWE MTOTO WA MKULIMA UJE TU DAR UNATAKA KAZI BOT?WAKATI ATA AKIBA BANK HUJAWAHI KUFANYA...MARA YA KWANZA KUJA DAR ULIKUWA UNAANZA UDSM MWAKA WA KWANZA.HAHAHAHAHAHAHAHA

You made me laugh with this!Ati exposure..jamani!
The irony ni kuwa.. iweje wao tu na kwa uwingi wao ndo wajazane BOT kuna nini pale?? kwanini wasiende na kwingineko...kama vile serikali za mitaa, idara za afya, maji, elimu, mifugo,n.k. ambako pia hizo taaluma zao zingeweza kutumika?
Usione kila anaetetea wengi ukadhani ni mtoto wa mkulima au ukadhani hana exposure.Wengine wana over exposure kuliko unavyofikiria wewe coupled with vast knowledge and experience both internationally and nationally!
Au usione kila anaeongea kwa uchungu wa nchi yake ukadhani ni choka mbaya...
Siyo kila anae question utendaji wenye mashaka ameiona Dar kwa mara ya kwanza akiwa chuo.... wengi usishangae wamezaliwa na kukulia hiyo Dar unayoiona wewe kuwa ni kitu cha ajabu sana.
Dont make assumptions here maana you may be surprised!

Kwani watoto wa wakulima hawana haki nchini kwao?
Ina maana kwa maneno na fikra zako, Watoto wa wakulima ni nyarubanja/squaters au ni rightful citizens kwenye hii nchi ya Tanzania?
 
WAKO PALE KWA POWER OF THEIR KNOWLEDGE NA SIO KUBEBWA BALI NI EXPOSURE WALIZO NAZO JUU YA MAMBO MBALIMBALI,NITAJIE WATATU TU AMBAO KAZI WANAYO FANYA HAIENDANI NA MERIT ZAO.WEWE MTOTO WA MKULIMA UJE TU DAR UNATAKA KAZI BOT?WAKATI ATA AKIBA BANK HUJAWAHI KUFANYA...MARA YA KWANZA KUJA DAR ULIKUWA UNAANZA UDSM MWAKA WA KWANZA.HAHAHAHAHAHAHAHA

Hapo BOT kwani hao unaosema wana merit wanafanya kazi gani? Wizi? Walishindwa vipi kuzuia EPA? Na mengine mengi tu?
 
WAKO PALE KWA POWER OF THEIR KNOWLEDGE NA SIO KUBEBWA BALI NI EXPOSURE WALIZO NAZO JUU YA MAMBO MBALIMBALI,NITAJIE WATATU TU AMBAO KAZI WANAYO FANYA HAIENDANI NA MERIT ZAO.WEWE MTOTO WA MKULIMA UJE TU DAR UNATAKA KAZI BOT?WAKATI ATA AKIBA BANK HUJAWAHI KUFANYA...MARA YA KWANZA KUJA DAR ULIKUWA UNAANZA UDSM MWAKA WA KWANZA.HAHAHAHAHAHAHAHA
Hivi kwani mtoto wa Luhanjo alipoajiriwa pale BOT mara tu baada ya kumaliza internship yake pale kwa Msemwa advocates je,kuna nafasi yoyote ya kazi ilitangazwa na yeye kushindanishwa na wengine hatimaye kupata kwa vigezo unavyovisema wewe huku akiwashinda wengine?kwani hivi kuja dar ndiyo dili la kujua kila kitu au unataka kutuambia watu wote waliopo dar wana akili kuliko waliopo mikoani?Mbona huyo niliyemtaja hapo juu ana lower second ya LLB pale mlimani lakini kuna watu wana upper second hawako pale?na labda kama nafasi za kazi zingetangazwa wangepata?wakati yeye tu watu wanashtukia ameshaajiriwa,wapo waliopeleka cv zao na barua pale kuomba iwapo ingetokea nafasi waitwe kwenye usaili,wakaishia kuambiwa "NO JOB" na wengine kutojibiwa kabisa. Sasa ahapo unataka kutuambia nini?
 
Back
Top Bottom