Fine za barabarani zitumike kurekebisha miundo mbinu ya barabara

kidole007

JF-Expert Member
Dec 22, 2012
3,094
1,873
Inafahamika sasa kua gari ni kiwanda kinazalisha mabilioni kila week

Nmekua nafatilia report za polisi za mabilion yanayokusanya barabara

Cha ajabu wanashindwa kutuwekea miundombinu rafiki sisi madereva

Yan tunaingizia serikali pato lakin barabara kama mahandaki

Ifike mahali serikali ituheshimu sisi walipa kodi

Fine za barabarani zitengeneze bara bara ili tu overspeed serikali ipate fine zaid
 
Umeongea jambo lenye mbolea sana!Magari ununue kodi ulipie,fine upigwe lakini miundo mbinu mibovu haifai kabisa .....
Barabara ni maandaki tu
Hii serikali ya chichiem Iwe n'a huruma kidogo

Ova
 
Wenye magari tunaonewa sana,fine kibao lakini barabara mbovu,gari zikiharibika unatozwa tena fine na unatengeneza mwenyewe.
Acha tu mkuu bush, shock up , links kifupi spare bei juu bado trafiki wanapiga hapo hapo
 
Back
Top Bottom