Fine ya gari isiyo na inspection bandarini ni Shillingi ngapi?

Rene Jr.

JF-Expert Member
Jan 31, 2014
3,714
2,372
Wakuu naomba niiweke hapa hii, nina imani hapa wanapita wahusika wengi wanaweza kutoa majibu yaliyo sahihi.

Ikitokea kwa sababu moja au nyingine gari iliyotumika imeingia bila kufanyiwa inspection huko ilikotoka, TBS wanaicharge fine ya pesa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom