Financial Security is to a woman, what sex is to a man

mawazo yako mkuu yanaonesha ni ya short term relationship na yasio na malengo ya ndoa. kwan kwenye ndoa kuna up and down kweny swala la financial na kuna priorities kama unakaa kujiangalia ww tu utateseka na magojwa tu.
na ukikua ki umri utajua pesa sio lazima kwa mwanamke.

Unamaanisha kwenye ndoa hakuna kuhudumia mke?

Endeleeni kujidanganya. Pesa ni muhimu kwa wanawake. Wanaovumilia ni vile wanaamini hawana namna.
 
Fanya kazi, upate zako nyingi.

Kama kazi huwezi kufanya, kwenye yale mahitaji yako muhimu badilishana na sex.

Ukitaka kutengeneza kucha ongea na kijana mpe yote akupambe kucha.

Ukitaka nywele nenda kwa wakongo huko sinza wape tunda wakupambe nywele.
And still they insist on 50/50 aren't they Crazy???
 
Hiyo Sex Wangapi Wana-enjoy Wakati Tendo Linafanyika?

Money matumizi yake ni kwa mtu husika i mean woman kama akipokea kutoka kwa mwanaume.

Ila sex ni mutually kwa wote wawili.

Pia Money ni tangible kitu kinaweza kushikika na kuhamishika hata kukitunza.

Vipi kuhusu Sex ni kitu au kitendo?
 
Wanawake dizain yenu kichwan huwa ni empty,due kichwa kipo tu kwa ajili ya kuwekea wig na kusukia cjui ndo rasta,hakuna mnachojua zaid ya kujinufaisha kwa kutumia miili yenu.....,kwa tathmin ya haraka haraka ni kwamba una umbo linalovutia wanaume kwa ajili ya kukununua ila mwsho wanaku dump tu na kuonekana shit hole ya sperm za wanaume,
 
Let me try kueleza zaidi, kama muelewa utaelewa.

Kwani wewe unapomtokea mwanamke mwanzoni kabisa unakuwa unajua utamu wake? Unajua if atakupa sex kwa kiwango utakacho? Si anakuvutia na unamfata regardless? That is the same way kwa wanawake wengi, mwanaume atakutokea, utaangalia vigezo vyako then utamkubali bureee kabisa.
So kwenye kuanza mahusiano most of times hakuna shida.

Issue ni kwamba mahusiano yanapoanza na kuendelea kuna expectations, kuna maintenance.

Sasa kama wategemea kupata njunju uridhike...then kuna price to pay. And the price ni kumhudumia mwanamke wako kwa kiasi anachotarajia.

Sasa tatizo liko wapi? Wanaume mnataka tushirikiane kimwili hlf pesa zenu mpeleke wapi?

Ukiona mwanaume hakuhudumii kuna mambo mengi anakuona una thamani ndogo,una date marioo visharobaro vyenu vile vilamba lips mnavyovipendaga,hupendwi au ulijitongozesha mwenyewe.

Mwanaume timamu atakuhudumia.Labda swali liwe unataka kuhudumiwa kwa kiasi gani

Kwa mfano nina ingiza laki 3 kwa mwezi.Wewe unataka nikuhudumie laki 1 kwa mwezi hela ambayo hata mama angu mzazi simpi wala Mungu wangu sijawahi mpa kwa mwezi hapo hapo unataka miaka 5 mbele niwe najiweza ilinikikuoa tuishi vzr.Sasa nikikupa 30000 unaona km haikutoshi,Sawa ila hali yangu hairuhusu kukupa hiyo hela utasema wenzangu wanisaidie sijui kuhudumia haya utasema mimi sio size yako kwamba sikuwezi kisa sina hela.

Sasa swali wewe ni bidhaa?au kigezo chako ni hela kwamba ukipata mwanaume mwenye hela kwako ndo mwanaume
Na je ikifikia nipo kwenye mahusiano na wewe nikafirisika sitapa uchi au.

Nachojua mimi wanaume ni watoaji wazuri sana tena sana unachokiona siku hizi cha ubahili ni matokeo ya wanawake zetu kupungua thamani.
 
Unamaanisha kwenye ndoa hakuna kuhudumia mke?

Endeleeni kujidanganya. Pesa ni muhimu kwa wanawake. Wanaovumilia ni vile wanaamini hawana namna.
Kwaiyo mkuu unamaanisha pasipo na pesa basi hakuna mapenzi
 
This works, but not in the long run.

Amini amini nakwambia, mwanamke asiyehudumiwa huchoka. Yani it is draining emotionally.

Na wengi mnashindwa kuelewa, hapa sizungumzii masuala ya kugongana sijui kulana casually. Nazungumzia mahusiano, aidha mafupi au marefu lakini mahusiano yanayohusisha companionship, upendo na constant interaction.
Wapo wanaweke wenye uvumilivu na subra.

Note: this not kwa hao piskali

afu kwenye swala la kuhudumia inategemea huyo mwanamke anataka kuhudumiwa kwa kias gan na mazingira. Sisi tunatoa hela pale tunapoona kuna uwitaji kwel.
 
Na vile umezungumzia pesa watakuandama hapa ila umesema ukweli, wanawake tunaangalia uhakika w maisha ya kesho, obviously kwa dunia tuliyomo wanaume wenye pesa wanapewa kipaumbele sababu uhakika wa future upo interms of money,

Nimeona wengine wanasema 'mke',, wanasahau kuwa walilipia mahari, wanawatunza pia hao wake zao na familia zao, Ni hao hao hata ndg zao wa kike wakiolewa hutaka kujua kipato cha mashemeji zao

Tupo kuwategemea wanaume tangu zamani wanaume wenye uwezo walisumbuliwa Sana na wanawake kingono

Tofauti yetu ni aina ya uroho juu ya mwanaume husika Kuna anaetongozwa na kuonyesha ulafi hapo hapo kuna anaesubiria mpk mahusiano yafikie hatua fulani,
 
This works, but not in the long run.

Amini amini nakwambia, mwanamke asiyehudumiwa huchoka. Yani it is draining emotionally.

Na wengi mnashindwa kuelewa, hapa sizungumzii masuala ya kugongana sijui kulana casually. Nazungumzia mahusiano, aidha mafupi au marefu lakini mahusiano yanayohusisha companionship, upendo na constant interaction.
Mie mwanaume ila nakazia hapa....

Demu usipomuhudumia anachoka its just a matter of time tu anakubadilikia
 
Na vile umezungumzia pesa watakuandama hapa ila umesema ukweli, wanawake tunaangalia uhakika w maisha ya kesho, obviously kwa dunia tuliyomo wanaume wenye pesa wanapewa kipaumbele sababu uhakika wa future upo interms of money,

Nimeona wengine wanasema 'mke',, wanasahau kuwa walilipia mahari, wanawatunza pia hao wake zao na familia zao, Ni hao hao hata ndg zao wa kike wakiolewa hutaka kujua kipato cha mashemeji zao

Tupo kuwategemea wanaume tangu zamani wanaume wenye uwezo walisumbuliwa Sana na wanawake kingono

Tofauti yetu ni aina ya uroho juu ya mwanaume husika Kuna anaetongozwa na kuonyesha ulafi hapo hapo kuna anaesubiria mpk mahusiano yafikie hatua fulani,
Miasha huwa yana badilika na hayana formula. Apo unaposema mnaangalia sehemu ya uwakika kwa ajili ya future ikitokea huyo mtu wa uwakikisha akayumba kuichumi na kupoteza raman what next?
 
Na vile umezungumzia pesa watakuandama hapa ila umesema ukweli, wanawake tunaangalia uhakika w maisha ya kesho, obviously kwa dunia tuliyomo wanaume wenye pesa wanapewa kipaumbele sababu uhakika wa future upo interms of money,

Nimeona wengine wanasema 'mke',, wanasahau kuwa walilipia mahari, wanawatunza pia hao wake zao na familia zao, Ni hao hao hata ndg zao wa kike wakiolewa hutaka kujua kipato cha mashemeji zao

Tupo kuwategemea wanaume tangu zamani wanaume wenye uwezo walisumbuliwa Sana na wanawake kingono

Tofauti yetu ni aina ya uroho juu ya mwanaume husika Kuna anaetongozwa na kuonyesha ulafi hapo hapo kuna anaesubiria mpk mahusiano yafikie hatua fulani,
Vipi Sasa kuhusu hoja ya 50/50????

Nyinyi wanawake hamjawahi kueleweka Toka hii dunia imeumbwa.

Hivi Shida ingekuwa Pesa Bill Get angeachana na mke wake?????
 
Habari,

I hope Tuesday zenu zaenda poa!

Nataka ku-clarify jambo moja to all the males in here....

Kuna vijimaneno maneno kuwa tunapenda pesa sana, ni wachunaji n.k. Mimi naomba niseme NI KWELI! Kinachokera ni wanaume kuongelea suala la sisi kupenda pesa kama vile ni crime. Yaani mwanadada akiweka maslahi mbele atasakamwa hadi basi. Lakini mbona nanyi ngono ndiyo priority kwenu na tunawapa tu?

Namna sisi tunachukulia pesa, ni vile nyie mnachukulia ngono. Si utani!

Kama ambavyo mwanamke akikunyima wenzio watakwambia "hakupendi" ndivyo na sisi mkiwa wabanaji wa pesa tunawaona hamtupendi vile vile.

Kama ambayo mnaumia mkisikia tumegawa nje, ndivyo nasi tunaumia saaaaanaaa tukisikia eti ulitembea na mwanamke na ukampa pesa. (Inauma sana)

Kama ambayo mkeo asipokupa K baada ya muda fulani unamtafutia msaidizi, ndivyo nasi tunatafuta msaidizi wa kutupa huduma mkilega kwenye kutoa mpunga.

Kama ambavyo wewe unaamua tu huyu mwanadada simpendi ila nitamtumia kwa ngono tu ndivyo nasi huwa kuna wanaume hatuwapendi tunawatumia kifedha tu.

Kama ambayo hutegemei mwanamke wako akumyime ngono muda wowote na kwa sababu yoyote, nasi hatutegemei wanaume wetu kutunyima pesa muda wowote na kwa sababu yoyote.

Kama ambavyo wewe una mikono ya kupiga punyeto na kukojoa ila bado unahitaji K ya mwanamke sababu ni tamu, ndivyo nasi tuna mikono ya kufanya kazi na kupata pesa ila bado tunahitaji pesa ya mwanaume sababu ni tamu.

Na mwisho, Kama ambavyo kuna wanaume wachache wanaoweza kuwa kwenye mahusiano na mwanamke bila ku-prioritize ngono, ndivyo kuna wanawake wachache wanaoweza kuwa kwenye mahusiano na wanaume bila ku-prioritize pesa.

Tuvumiliane, Tutimiziane!

Asante.
Usifananishe kifo na usingizi
 
Na vile umezungumzia pesa watakuandama hapa ila umesema ukweli, wanawake tunaangalia uhakika w maisha ya kesho, obviously kwa dunia tuliyomo wanaume wenye pesa wanapewa kipaumbele sababu uhakika wa future upo interms of money,

Nimeona wengine wanasema 'mke',, wanasahau kuwa walilipia mahari, wanawatunza pia hao wake zao na familia zao, Ni hao hao hata ndg zao wa kike wakiolewa hutaka kujua kipato cha mashemeji zao

Tupo kuwategemea wanaume tangu zamani wanaume wenye uwezo walisumbuliwa Sana na wanawake kingono

Tofauti yetu ni aina ya uroho juu ya mwanaume husika Kuna anaetongozwa na kuonyesha ulafi hapo hapo kuna anaesubiria mpk mahusiano yafikie hatua fulani,

Nashukuru umeeleza vyema. Labda wewe utaeleweka.
 
Ukiona mwanaume hakuhudumii kuna mambo mengi anakuona una thamani ndogo,una date marioo visharobaro vyenu vile vilamba lips mnavyovipendaga,hupendwi au ulijitongozesha mwenyewe.

Mwanaume timamu atakuhudumia.Labda swali liwe unataka kuhudumiwa kwa kiasi gani

Kwa mfano nina ingiza laki 3 kwa mwezi.Wewe unataka nikuhudumie laki 1 kwa mwezi hela ambayo hata mama angu mzazi simpi wala Mungu wangu sijawahi mpa kwa mwezi hapo hapo unataka miaka 5 mbele niwe najiweza ilinikikuoa tuishi vzr.Sasa nikikupa 30000 unaona km haikutoshi,Sawa ila hali yangu hairuhusu kukupa hiyo hela utasema wenzangu wanisaidie sijui kuhudumia haya utasema mimi sio size yako kwamba sikuwezi kisa sina hela.

Sasa swali wewe ni bidhaa?au kigezo chako ni hela kwamba ukipata mwanaume mwenye hela kwako ndo mwanaume
Na je ikifikia nipo kwenye mahusiano na wewe nikafirisika sitapa uchi au.

Nachojua mimi wanaume ni watoaji wazuri sana tena sana unachokiona siku hizi cha ubahili ni matokeo ya wanawake zetu kupungua thamani.

Point yangu ni kuhudumia na nashukuru umekubali kuwa mwanaume yake matumizi.

Asante
 
Wanawake dizain yenu kichwan huwa ni empty,due kichwa kipo tu kwa ajili ya kuwekea wig na kusukia cjui ndo rasta,hakuna mnachojua zaid ya kujinufaisha kwa kutumia miili yenu.....,kwa tathmin ya haraka haraka ni kwamba una umbo linalovutia wanaume kwa ajili ya kukununua ila mwsho wanaku dump tu na kuonekana shit hole ya sperm za wanaume,

sawa. Ila mwanamke kuhudumiwa kaka. Hata uwe na akili zinamwagika ukitembea.
 
Back
Top Bottom