Financial Security is to a woman, what sex is to a man

Ni ujinga mwanamke kuthubutu hata kwa bahati mbaya kushindana na mwanaume,unasema kuna wanaume unapenda kuwatumia tu kwa sababu hawakupendi ili wakupe hela unasahau baada ya muda huko chini kutafanana na ndoo ile ya litre 20 huku mwanaume akiwa hana cha kupoteza.

Hiki ni kizazi cha hovyo kuwahi kutokea duniani.

NB:nyie mnaopenda pesa wanaume huwa tunawatumia tu kama tissue ila kipaumbele cha kwanza tunapotaka kufanya maisha tunatafuta walio smart vichwani ninyi sungura tope tunatupa mbali.
 
Kukupa pesa sio inxhu ila the problem is unaniomba pesa katik mda gani...?

Ninekuaproach yesterday en today unaniomba pesaa oooh no no nooo..! I can't

Bt kma tuko kwa relation kwa mda mrefu mm ni nani nisikupe pesa..??

Kitu unachotakiwa kujua boys tunafeel proud kumpa pesa gals.. ila ni gals wa nmna gani huyooo...???

Sio tunatoa toa tu kizembee bila kujua tunapata nini...

Sasa mkuu,

Umemuapproach mwenyewe mwanadada hlf unasema ni girl wa namna gani? Kwani mmekutana gizani?

Fuata yule unayemtaka na aliyekuvutia, pesa iwepo.

Kula mzigo huku unahudumia.

Vya kuombwa pesa mapema huwa ni mtihani tu. Maana hatujui una pesa au huna. Unadhani akina Mo Dewji wanaombwa pesa mapema hivyo?
 
Ni ujinga mwanamke kuthubutu hata kwa bahati mbaya kushindana na mwanaume,unasema kuna wanaume unapenda kuwatumia tu kwa sababu hawakupendi ili wakupe hela unasahau baada ya muda huko chini kutafanana na ndoo ile ya litre 20 huku mwanaume akiwa hana cha kupoteza.

Hiki ni kizazi cha hovyo kuwahi kutokea duniani.

NB:nyie mnaopenda pesa wanaume huwa tunawatumia tu kama tissue ila kipaumbele cha kwanza tunapotaka kufanya maisha tunatafuta walio smart vichwani ninyi sungura tope tunatupa mbali.

Sasa nisipopatumia ndo hakutobadilika? Kuzeeka kupo tu, hata wanaume wanazeeka.

Tusitishane!

Klynn huyo anapenda pesa na good life na Mengi alimuoa. Acha akili za kimasikini na vitisho visivyo na tija.
 
Acheni porojo tuchape kazi tuijenge Tanzania yetu. Watu mnawaza ngono tuuuuuu as though mmezaliwa kwenye mapenzi ya makaburini.
 
Daah wanaume sisi..

Yaani pesa tunapigwa na katika kugegedana unakaskia kadada kanasema

✓"bebiii hapo,bebiii hapo,tamu"

✓"bebii nakojoaaaa"

Na sio wale wa kuact.
 
ndio sababu wanaume wengi wanapona kwa madada poa. inaitwa nipe nikupe alafu tusijuane.
sababu nyingine wanaume ndio maana tumeamua kuwa wabinafsi yani mtu anaku garamia bado na jasho atoe tena ww umekalisha k tu anamaliza haja zake anakuacha njia panda.
ndio maana wanawake wana wanaume wenye hela wanatafuta mchepuko wakumridhisha kitandani.
 
Daah wanaume sisi..

Yaani pesa tunapigwa na katika kugegedana unakaskia kadada kanasema

✓"bebiii hapo,bebiii hapo,tamu"

✓"bebii nakojoaaaa"

Na sio wale wa kuact.

Kwani wewe huenjoy Mkuu. Kwanza 80% ya hizi kelele huwa ni kwa ajili yenu wala sio kwa ajili yetu.

Mnajiona mmetuweeza...
 
ndio sababu wanaume wengi wanapona kwa madada poa. inaitwa nipe nikupe alafu tusijuane.
sababu nyingine wanaume ndio maana tumeamua kuwa wabinafsi yani mtu anaku garamia bado na jasho atoe tena ww umekalisha k tu anamaliza haja zake anakuacha njia panda.
ndio maana wanawake wana wanaume wenye hela wanatafuta mchepuko wakumridhisha kitandani.

Sasa ubinafsi unakufikisha wapi Mkuu. Unajua unaweza kudhani unamuadhibu the other party kumbe waumia mwenyewe.

Wewe usipohudumia mtoto mzuri wenzio watahudumia na kula. Sasa hasara kwa nani?
 
Mkuu itakuwa una msongo wa mawazo!

Pole

Uko sahihi kabisa. Ntaachaje kupata msongo wa mawazo wakati vijana ambao ni nguvu kazi na nguzo kuu ya taifa, energy hiyo tunaielekeza kwenye ngono, ambayo hata haitarajiwi kuongeza population!??? At least hata tungekuwa tunasikia kupongezana kwa ajili ya watoto wazaliwa na kusaidiana kuwachagulia majina.

Nguvu inapotea bure, can you imagine!??? Afadhali hata nguvu hiyo ingetumika kuunganishia umeme vijiji 2,000 alivyobakiza Bulldozer au isaplimenti Bwawa la Rufiki eikeiei JNHPP. Sijui hata kama unajua haya kweli!???

Kile kitabu cha Ngoswe hamkukielewa au ndio mmekipuuza kama kawaida yenu!??? Yaani wewe ulisomea mastaz in Business Administration ulielewa ujasiriamali wa ngono tuuuuuuuuu!??? Profesa wako anastahili kunyang'anywa PhD yake apewe mamalishe pale Ikunganywa anayeshinda juani mchana kutwa 24/7 ili kujitafutia kipato halali.
 
Huwa napenda uwazi. Kama "unaniuzia" sema mwanzo ni biashara. Kama walivyo dada poa tu, unajua unakula na kulipa mlichokubaliana. Mkimaliza, yameisha...hakuna kujuana.

Shida ni kama mimi nataka relationship na wewe halafu unanigeuza ATM kinyemela. Hutaki kusema wazi upo kwenye biashara lakini kimsingi nia yako kuu ni pesa tu, sio mahusiano. Just come clean....kama dada poa tu.
 
Kwani wewe huenjoy Mkuu. Kwanza 80% ya hizi kelele huwa ni kwa ajili yenu wala sio kwa ajili yetu.

Mnajiona mmetuweeza...
Mtu mjanja kama mimi na ninavyojua physiology na anatomy ya mwanamke ni vigumu kushindwa kutambua anapata raha kweli au ananiactia.

Point yangu ilikuwa kuonyesha kuwa Wanaume tunateseka sana hapa duniani..how on earth niende kwa mama ntilie ninunue wali wa buku then na yeye alete kijiko na kuanza kula kwenye sahani yangu huku ananichekea?
 
Habari,

I hope Tuesday zenu zaenda poa!

Nataka ku-clarify jambo moja to all the males in here....

Kuna vijimaneno maneno kuwa tunapenda pesa sana, ni wachunaji n.k. Mimi naomba niseme NI KWELI! Kinachokera ni wanaume kuongelea suala la sisi kupenda pesa kama vile ni crime. Yaani mwanadada akiweka maslahi mbele atasakamwa hadi basi. Lakini mbona nanyi ngono ndiyo priority kwenu na tunawapa tu?

Namna sisi tunachukulia pesa, ni vile nyie mnachukulia ngono. Si utani!

Kama ambavyo mwanamke akikunyima wenzio watakwambia "hakupendi" ndivyo na sisi mkiwa wabanaji wa pesa tunawaona hamtupendi vile vile.

Kama ambayo mnaumia mkisikia tumegawa nje, ndivyo nasi tunaumia saaaaanaaa tukisikia eti ulitembea na mwanamke na ukampa pesa. (Inauma sana)

Kama ambayo mkeo asipokupa K baada ya muda fulani unamtafutia msaidizi, ndivyo nasi tunatafuta msaidizi wa kutupa huduma mkilega kwenye kutoa mpunga.

Kama ambavyo wewe unaamua tu huyu mwanadada simpendi ila nitamtumia kwa ngono tu ndivyo nasi huwa kuna wanaume hatuwapendi tunawatumia kifedha tu.

Kama ambayo hutegemei mwanamke wako akumyime ngono muda wowote na kwa sababu yoyote, nasi hatutegemei wanaume wetu kutunyima pesa muda wowote na kwa sababu yoyote.

Kama ambavyo wewe una mikono ya kupiga punyeto na kukojoa ila bado unahitaji K ya mwanamke sababu ni tamu, ndivyo nasi tuna mikono ya kufanya kazi na kupata pesa ila bado tunahitaji pesa ya mwanaume sababu ni tamu.

Na mwisho, Kama ambavyo kuna wanaume wachache wanaoweza kuwa kwenye mahusiano na mwanamke bila ku-prioritize ngono, ndivyo kuna wanawake wachache wanaoweza kuwa kwenye mahusiano na wanaume bila ku-prioritize pesa.

Tuvumiliane, Tutimiziane!

Asante.
Kwa hiyo kumbe mnauza?
 
Uko sahihi kabisa. Ntaachaje kupata msongo wa mawazo wakati vijana ambao ni nguvu kazi na nguzo kuu ya taifa, energy hiyo tunaielekeza kwenye ngono, ambayo hata haitarajiwi kuongeza population!??? At least hata tungekuwa tunasikia kupongezana kwa ajili ya watoto wazaliwa na kusaidiana kuwachagulia majina.

Nguvu inapotea bure, can you imagine!??? Afadhali hata nguvu hiyo ingetumika kuunganishia umeme vijiji 2,000 alivyobakiza Bulldozer.

Kile kitabu cha Ngoswe hamkukielewa au ndio mmekipuuza kama kawaida yenu!??? Yaani wewe ulisomea mastaz in Business Administration ulielewa ujasiriamali wa ngono tuuuuuuuuu!??? Profesa wako anastahili kunyang'anywa PhD yake apewe mamalishe pale Ikunganywa anayeshinda juani mchana kutwa 24/7 ili kujitafutia kipato halali.

Wengine hatujasoma tuko kwa mashemeji zetu yani bora ht tunavyotumia JF Maxence Melo anapata kuingiza kipato na kuilipa Serikali kodi
 
Huwa napenda uwazi. Kama "unaniuzia" sema mwanzo ni biashara. Kama walivyo dada poa tu, unajua unakula na kulipa mlichokubaliana. Mkimaliza, yameisha...hakuna kujuana.

Shida ni kama mimi nataka relationship na wewe halafu unanigeuza ATM kinyemela. Hutaki kusema wazi upo kwenye biashara lakini kimsingi nia yako kuu ni pesa tu, sio mahusiano. Just come clean....kama dada poa tu.

Yani sababu kuna taxi na ni za kulipia basi unataka upande taxi kisa ukinunua gari yako utaweka mafuta na kufanyia service hivyo gharama iko pale pale?

SMU usiniangushe bwana, wote tunajua raha ya kuwa na mtu wako.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Wengine hatujasoma tuko kwa mashemeji zetu yani bora ht tunavyotumia JF Maxence Melo anapata kuingiza kipato na kuilipa Serikali kodi

Sasa kama ndivyo usingeanzisha uzi wenye lengo la kutoboa mifuko ya vijana ambao years and years wamekosa usingizi ili kujipatia maisha hayo bora na pesa walizo nazo. How can you be a teacher if you have not been a student in the first place!??? Even Einstein would have starkly disagreed with it. Anyways, wasalimie mashemeji :)
 
Back
Top Bottom