young_stunner
JF-Expert Member
- Nov 9, 2016
- 374
- 545
Mi nitakuchangia kwenye hilo dau usishindweMkuu Zurie mimi nimekuelewa vizuri.Naimba nitajie dau lako chap chap tumalize biashara.
Mi nitakuchangia kwenye hilo dau usishindweMkuu Zurie mimi nimekuelewa vizuri.Naimba nitajie dau lako chap chap tumalize biashara.
Yaani mathematically proven kabisa.Mwanaume asiyetoa pesa hajawahi kuwa mtamu tangu dunia ianze.
Kwanza money is directly proportional to wetness.
Pesa ni muhimu.
Ha ha haa, mkuu umeua ,Hii topic nilikuwa naijadili na mchuchu mmoja hivi jana jioni. Anataka hela ila Mbususu ananisubirisha.
Nikamwambia tufanye mkono kwa mkono.
Asee dadang kamwe usishindane na mwanaume katika mambo hayo sababu ukisema et kuna wanaume hamuwapendi bali mnawatumia kingono alooo huko chini kwako KUTACHAKAA SANA tofaut na mwanaume ambaye huwezi kuta et chini kwake kukawa kumeharibika.
Pili hapo uliposema kutafuta msaidizi kwa mwanaume kama hajakuoa basi huwa haumii sana. Tena mamen huwa kuna katabia fulan hiv akishakukula alafu hana mzuka na ww anagawa namba kwa machizi wengine nao wakuonje mwisho wa cku utakuta watu kibao wameshatia sign ikulu yako mpak wakaichakaza kufikia hatua inakuwa kama minyamanyama ya BULLDOG kwenye mdomo wake.
All in all ulikuwa na nia nzuri tu yakutufundisha tukuhudumie ni vizuri na ni wajibu wetu lakn ridhika na kila Hali kumbuka kuna kupanda na kushuka e.g Dk Bashiru alienda bungeni akiwa balozi akarudi akiwa m'bunge na Mhe. Mpango aliingia akiwa waziri katoka akiwa makamo wa rais
Ulikuwa na nia nzuri ila umeharibu hapo tu juu.
Ha ha haa, mkuu umeua ,
Mkono kwa mkono,
Kwa hiyo hela utampa mkononi ukichakata!!
Ww haupo kweny kund la wife material,unatumia mwil wako kupata pesa,period!!!!Kama umeelewa na kukubali wife anapaswa kuhudumiwa inatosha...vya ukahaba inaonekana huvipendi achana navyo...
Kwani lazima upewe na mwanaume si utafute zako
Naomba invoice basi nione kama naweza fikia bei bibieRudi kwenye point zangu. Hela zetu tunatafuta na za wanaume tunazipenda vile vile.
Si kwamba tunatembea na wanaume ili watupe hela ila tukitembea na wanaume sharti watupe hela. Note the difference!
Pm iko tupu mbnaAngalia PM nimetuma.
Umefurahi?
Nimerejea Tena baada ya kulog in,Habari,
I hope Tuesday zenu zaenda poa!
Nataka ku-clarify jambo moja to all the males in here....
Kuna vijimaneno maneno kuwa tunapenda pesa sana, ni wachunaji n.k. Mimi naomba niseme NI KWELI! Kinachokera ni wanaume kuongelea suala la sisi kupenda pesa kama vile ni crime. Yaani mwanadada akiweka maslahi mbele atasakamwa hadi basi. Lakini mbona nanyi ngono ndiyo priority kwenu na tunawapa tu?
Namna sisi tunachukulia pesa, ni vile nyie mnachukulia ngono. Si utani!
Kama ambavyo mwanamke akikunyima wenzio watakwambia "hakupendi" ndivyo na sisi mkiwa wabanaji wa pesa tunawaona hamtupendi vile vile.
Kama ambayo mnaumia mkisikia tumegawa nje, ndivyo nasi tunaumia saaaaanaaa tukisikia eti ulitembea na mwanamke na ukampa pesa. (Inauma sana)
Kama ambayo mkeo asipokupa K baada ya muda fulani unamtafutia msaidizi, ndivyo nasi tunatafuta msaidizi wa kutupa huduma mkilega kwenye kutoa mpunga.
Kama ambavyo wewe unaamua tu huyu mwanadada simpendi ila nitamtumia kwa ngono tu ndivyo nasi huwa kuna wanaume hatuwapendi tunawatumia kifedha tu.
Kama ambayo hutegemei mwanamke wako akumyime ngono muda wowote na kwa sababu yoyote, nasi hatutegemei wanaume wetu kutunyima pesa muda wowote na kwa sababu yoyote.
Kama ambavyo wewe una mikono ya kupiga punyeto na kukojoa ila bado unahitaji K ya mwanamke sababu ni tamu, ndivyo nasi tuna mikono ya kufanya kazi na kupata pesa ila bado tunahitaji pesa ya mwanaume sababu ni tamu.
Na mwisho, Kama ambavyo kuna wanaume wachache wanaoweza kuwa kwenye mahusiano na mwanamke bila ku-prioritize ngono, ndivyo kuna wanawake wachache wanaoweza kuwa kwenye mahusiano na wanaume bila ku-prioritize pesa.
Tuvumiliane, Tutimiziane!
Asante.