king kan
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,629
- 2,043
Wakuu, habari ya kazi.
Mimi nahitaji kuanza kuwekeza atleast 50000 kila mwezi. Natamani sana wadau mnisaidie ni financial institution gani hapa Tanzania inatoa huduma hiyo. Na watanilipa interest rate kiasi gani (compounded kila mwezi).
Wakuu tusaidie naomba mnisaidie taarifa husika. Aksanteni.