Salaam,hongera sana kwa kukamatia fulsa. lakini nimeshangazwa sana uliposema umependa pine mwez wa 12. mimi nipo Mufindi na najua kwamba pine na mlingoti hupandwa baada ya ardhi kunywa maji ya kutosha. watu hukadilia mwezi wa 1 mwishoni au mwezi wa 2 mwanzoni. athari za kupanda pine au mlingoti mwez wa 12 wakati ambao bado mvua hazijanyesha sana ni kwamba miti huweza kunyauka kwa kwa sababu inakua bado haijajishika sana na ardhi pia maji ni machache. lakini hongera sana pia jitahid sana kutembelea shamba lako na kuangalia miti inaendeleaje coz mwaka huu mvua ni chache sana. nawasilisha
kwa kawaida mvua huanza mwei wa 11 ila mwaka Jana imechelewa sana mpaka mwez wa 12 mwishoni!!! kwa sasa imeanza na watu wanapanda sasa.Salaam,
Nilikuwepo desemba mitaa ya mufindi, hakukuwa na mvua za kutosha kuanza kuotesha miti, inawezekana Ifunda mvua ilinyesha mapema. Ila mwaka huu mvua inazingua kinoma.
Nifafanulie huu mchanganuo mkuu isijekua kilimo cha PDF kama kile cha tikitihiyo ni biashara nzuri sana after 10 years unaweza kuvuna ukauza kila mti kwa 15,000×2250 ni zaidi ya 337,000,000 ni bonge la uwekezaji halafu watu wanalia eti serikali serikali!ebooh kufa na tufe!
Nifafanulie huu mchanganuo mkuu isijekua kilimo cha PDF kama kile cha tikiti
Nipe elimu kidogo hapo mkuu mti mmoja unaweza toa mbao ngapi ukiwa na umri wa miaka 10?
Mkuu mwenye uzi nikupongeze sana kwa hatua uliyochukua. Karibu tuoteshe miti pamoja. Na mimi najikongoja kidogo kwenye hiyo project. Ukipata kasehemu hapo ulipo nikumbuke na mimi.
I hope that boss of yours is now enjoying his pensionkweli mkuu ubinafsi ni tatizo....boss wangu anamiaka 3 astaafu ila kapanda Miti zaidi ya ekari 140 ndani ya miaka 3! hapo ndo nazidi kujipa moyo na kusonga mbele.
Mzima Kinte,
Biashara ya misitu ya miti ya mbao imeanguka hatari. Kuna saa nawahurumia wadau wenzangu maana hali sio nzuri kabisa. Ila mimi naendelea kuotesha miti. Chukua usemi huu. OTESHA MITI KWA WINGI, WATOTO WATAKUACHA ILA MITI HAITAKUACHA MPWEKE.I hope that boss of yours is now enjoying his pension
Good point...huwa tunakosea kujifikiria sisi wenyewe, wenzetu ngozi nyeupe wanaweka mipango na mikakati ya kunuifaisha generations after generations...yap niko tayari kuvumilia ukizingatia nikisema miaka 10 ni mingi je miaka 10 ilopita nilifanya nn cha maana jib ni hakuna! Hata ningekuwa Nina miaka zaidi 40 sio mbaya coz kuna wategemezi wangu watanufaika nayo mkuu!