relis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 3,180
- 4,734
Nimekuelewa sasa mkuu ngoja tujipange na hiyo fursamkuu nazungumzia Miti ya kisasa kama pine na eucalyptus (milingoti) ambayo inatumia muda mfupi kukomaa sio ya asili...... kama milingoti ndani ya miaka 5 unaweza kuvuna mirunda au nguzo! so far unaweza kupanda Miti kwa garama ya sh 350,000 kwa ekari Baada ya miaka mitatu ukauza sh mil 1.5 kwa ekari... imagine ukiwa na ekari 20 una sh ngapi???