Finally: Nimeanza rasmi kilimo cha miti ya mbao Iringa

hongera sana kwa kukamatia fulsa. lakini nimeshangazwa sana uliposema umependa pine mwez wa 12. mimi nipo Mufindi na najua kwamba pine na mlingoti hupandwa baada ya ardhi kunywa maji ya kutosha. watu hukadilia mwezi wa 1 mwishoni au mwezi wa 2 mwanzoni. athari za kupanda pine au mlingoti mwez wa 12 wakati ambao bado mvua hazijanyesha sana ni kwamba miti huweza kunyauka kwa kwa sababu inakua bado haijajishika sana na ardhi pia maji ni machache. lakini hongera sana pia jitahid sana kutembelea shamba lako na kuangalia miti inaendeleaje coz mwaka huu mvua ni chache sana. nawasilisha
 
Salaam,
Nilikuwepo desemba mitaa ya mufindi, hakukuwa na mvua za kutosha kuanza kuotesha miti, inawezekana Ifunda mvua ilinyesha mapema. Ila mwaka huu mvua inazingua kinoma.
 
Salaam,
Nilikuwepo desemba mitaa ya mufindi, hakukuwa na mvua za kutosha kuanza kuotesha miti, inawezekana Ifunda mvua ilinyesha mapema. Ila mwaka huu mvua inazingua kinoma.
kwa kawaida mvua huanza mwei wa 11 ila mwaka Jana imechelewa sana mpaka mwez wa 12 mwishoni!!! kwa sasa imeanza na watu wanapanda sasa.
 
hiyo ni biashara nzuri sana after 10 years unaweza kuvuna ukauza kila mti kwa 15,000×2250 ni zaidi ya 337,000,000 ni bonge la uwekezaji halafu watu wanalia eti serikali serikali!ebooh kufa na tufe!
Nifafanulie huu mchanganuo mkuu isijekua kilimo cha PDF kama kile cha tikiti

Nipe elimu kidogo hapo mkuu mti mmoja unaweza toa mbao ngapi ukiwa na umri wa miaka 10?
 
Inategemea variety ya pine uliyopanda kuna pine nyembamba na pana...lakini pia spacing wakati wa upandaji huathiri unene wa gogo...idadi ya mbao inategemea unene wa gogo, urefu wa mti na size ya mbao kama ni 2x2,2x4 au 2x6 kama ni 2×6 mbao zitakuwa chache lakini with great value...likewise kama ni 2x4 value itakuwa kubwa.

Uzoefu wangu upo zaidi ktk kuuza miti iliyokomaa ambayo bei hutegemea eneo na size ya mti lakini biashara ya mbao na miti inalipa sana...hakuna mfanyabiashara wa mbao atakuambia huo ukweli.Nenda MAFINGA iringa kauone mji ulivyochangamka mainly ni kwa sababu ya biashara ya mbao,miti na kilimo cha chai.
Nifafanulie huu mchanganuo mkuu isijekua kilimo cha PDF kama kile cha tikiti

Nipe elimu kidogo hapo mkuu mti mmoja unaweza toa mbao ngapi ukiwa na umri wa miaka 10?
 
safi mkuu... mimi ndo napanda saiv ... mufindi mvua za kutosha sana.... I hope mambo yataenda vizur. .. tena saiv kuna mbegu Bora hata miaka 7 unavuna nguzo . I'm 25yrs .naamini sijachelewa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbengu za miti ya mbao zinapatikanaje? na zinapatikana wapi?,je mbegu za miti ya mbao nazo ziko kama mbegu za nafaka kama vile mbegu za mahindi na alizeti kuwa mbegu za mbao nazo kuna mbegu za kisasa na za kienyeji?.

Kama ni hivyo mbegu za kisasa zinachukua muda gani toka kupandwa mpaka kuvunwa? Na mbegu za kienyeji pia.
 
yap niko tayari kuvumilia ukizingatia nikisema miaka 10 ni mingi je miaka 10 ilopita nilifanya nn cha maana jib ni hakuna! Hata ningekuwa Nina miaka zaidi 40 sio mbaya coz kuna wategemezi wangu watanufaika nayo mkuu!
Good point...huwa tunakosea kujifikiria sisi wenyewe, wenzetu ngozi nyeupe wanaweka mipango na mikakati ya kunuifaisha generations after generations...

Panda miti....you will never regret!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom