Finally... here is the baby... the countdown...

hongera sana,mwanzo mzuri hata roma haikujengwa kwa siku moja.mabadiliko yatakuja kadri siku zinavyokwenda kwani teknalogia inabadilika kila siku kutokana na mahitaji.
 
Naomba unieleweshe, nilifikiri hawa ni
Lydia Ngosha na Mwanakijiji??
Ila nikaona msela aliyekaa kwenye kiti anasimama mwishoni nikajua sio Mwanakijiji.

Nyani Ngabu, hapo vipi? au tumwulize mtaalam Brazameni?

Nzokangoshanhyilu, nami nimecheck hiyo video... duuh, kiboko.. nimeshindwa kujizuia kuacha komment, sasa sijui kama Mkjj atairuhusu hiyo komment isomeke..asije aiweke kapuni tuu..

Mkjj, comment zangu zitakuja tu usiwe na wasi na zitakuwa critical kama jinsi unavyonijua... situmaini kurusha makombora kama Mh. Koba lakini... :)

SteveD.
 
Nzokangoshanhyilu, nami nimecheck hiyo video... duuh, kiboko.. nimeshindwa kujizuia kuacha komment, sasa sijui kama Mkjj atairuhusu hiyo komment isomeke..asije aiweke kapuni tuu..

SteveD.

Nzokangoshayapi ni kaka wa Lydia Ngosha?
 
Back
Top Bottom