Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
- Thread starter
- #41
Gumzo itaunganishwa kwa namna fulani... yeye ni mtoto wa kwanza..
Gumzo itaunganishwa kwa namna fulani... yeye ni mtoto wa kwanza..
wazee mnaanza kunioverwhelm.. we'll cross those bridges when we get to them.
...una deal na pro hapa,kwa hiyo nikifungua tuu naona very clear makosa ngoja nikuache jasho naona linakutoka !
Kwi kwi kwi ...
Mwanakijiji una kazi kweli hapa inabidi uanze kumlipa tech overtime just the first day of work, jamani Koba mpe break mzee wetu asijevunja wheelchair yake bure kwa presha..
koba nitengenezee banner yenye mantiki kama hiyo unayoiona dimension ziwe 970x110 .. nitashukuru sana. Maana ma Pro wenyewe ndiyo nyinyi.
...atafanikiwa tuu ila pressure zake tuu ziko juu,ila unajua jina Mwanakijiji ni jina maarufu sana kwenye media sana sana kwenye siasa na kule TZ wengi hata maofisa wa serikali wanajua kuna mwiba unaitwa mwanakijiji na site nyingi sana kuanzia kwa michuzi,young africans etc wanajua sana hili jina,sasa najiuliza kwanini hakutumia hilo jina kama ndio jina la hiyo website
...aiseeh muda unanipiga chenga nasafiri leo usiku naenda Tanzania.
Ebwana Mkjj kutakuwa na forum hapo au...?
Halafu naona hapo kuna player lakini haichezi....vipi? Nilidhani umetuwekea speech ya MLK
player inacheza, sijui kama wengine wanapata tatizo hilo. Forum ipo ile iko disabled kwa sasa ili watu wasijiandikishe.. nataka tuangalia site inavyoonekana kwa mbele kabla hatujaangalia vikolombwezo vingine..
Inaelekea mwanakijiji umekuwa unafanya kazi ovataimu kukamilisa project hii. Sasa hivi iko zaidi ya 95% kwa vile jana sikupata kitu na leo nimeweza kupata samsing.
Server yako mpya inaelekea kwenda polepole kidogo kuliko ile KLH news niliyozowea, kabda hapa una graphics nyingi au kwa vile bado tuko kwenye transition, sina uhakika.
Hata hivyo hongera sana na shukrani kwa kutuweka karibu zaidi na kaya.