Finally... here is the baby... the countdown...

koba.. sasa hapa umeanza kuzungumza kama mtu mwenye neurons that are still firing and are connected properly in your "grey matter". Kwa vile wewe umeamua kukosa "down" page, that is fair ila mwanzoni ungeanza hivyo badala ya kuwa mkandiaji nambari uno!

a. Hiyo message siyo utakayoiona kwenye website na graphics zimekuwa improved na bendera yetu ukiiona utaitambua.

b. Bahati nzuri ninatumia lugha mbili (bilingual) kama wewe ulivyofanya hapo juu na hiyo ni mojawapo ya vitu tofauti. Kusoma habari za Kiingereza na Kiswahili zote ziko mahali pamoja because we are a bilingual nation..
 
your page title is useless doesn't explain what the page is about

contrast in color, text is soooooo bad (hiyo ni bendera ya wapi? TZ? na hilo neno international news btn page title and vibendera ni mfano mzuri

hivyo vipicha viwili hapo mbele is meaningless/unnecessary graphics

your color combinations of text and background make the text hard to read

down for maintenance forever mazee is boring

tumia lugha moja sio kuchanganya

mwisho nakushauri go back and read good web design features itakusaidia sana hata kama wewe sio pro wa haya mambo

Ushauri mzuri sana Koba!

Nadhani Mkjj akifungua rasmi site (kama sijakosea heading inasema ni countdown to opening day) inabidi awe ameyafanyia yote haya kazi.

Kwa sasa ni kusherekea kuwa at last kijiji chetu kinapata upgrade kutoka kwenye blog kwenda kwenye website - kama hujaona hili bado, kwangu hii ni big deal!
 
mimi nataka web yake iwe World class tofauti na zile lipua lipua za wabongo mfano ippmedia ambako kumejaa dead links kuliko news zenyewe,huyu mtu ana news nyingi sana na akitulia anaonekana articles zake zinaweza kuwa deep sana lakini kama web mbovu atamfikia nani? ushauri wa bure tafuta Pro akufanyie kazi is just one time investment na cost sio kubwa kama unavyofikiria(acha ubahiri)...dont forget loading speed is mother of all katika haya mambo lazima umwambie hapo huna compromise
 
Koba, wewe hutaki website ifanikiwe, wewe unataka uone website ambayo unaweza kuona makosa na kuonesha jinsi gani "mwanakijiji amevurunda". I promise you, you are underestimating me kama wengine walivyofanya and they paid for it! In about two hours site itakuwa hewani, na nikuhakikishie sifanyi yote mimi mwenyewe na tumetumia kiasi kikubwa cha fedha kuitengeneza neno ubahili haliko kwenye kamusi zangu. Ila nitashukuru katika nia yako ya kuifanya iwe world class ukichangia kidogo nenda kwenye http://www.mwanakijiji.podomatic.com kuna link ya paypal ambapo wenzako wanaotakia mafanikio wamesaidia. Nakushauri uache ubahili.
 
Hahahaha Mwanakijiji...you're something else...you hit right back with "ubahili" "na achangie"...and you hit him good too....
 
Koba, wewe hutaki website ifanikiwe, wewe unataka uone website ambayo unaweza kuona makosa na kuonesha jinsi gani "mwanakijiji amevurunda". I promise you, you are underestimating me kama wengine walivyofanya and they paid for it! In about two hours site itakuwa hewani, na nikuhakikishie sifanyi yote mimi mwenyewe na tumetumia kiasi kikubwa cha fedha kuitengeneza neno ubahili haliko kwenye kamusi zangu. Ila nitashukuru katika nia yako ya kuifanya iwe world class ukichangia kidogo nenda kwenye http://www.mwanakijiji.podomatic.com kuna link ya paypal ambapo wenzako wanaotakia mafanikio wamesaidia. Nakushauri uache ubahili.

...mazee sina any ill will towards your work,i wish you nothing but success (just trust me),and thanks for the link nitaangalia namna ya kuchangia
 
Lah haula, afadhali sasa kondoo karudi kundini... ila tuwe makini asije kuwa 'chui'!
 
haya jamani, you know I'm so nervous hadi kichwa kinauma.. maana hiyo hype niliyotengeneza.. i better deliver and meet your expectations.. otherwise it'll be dead on arrival.. so just don't be too harsh.. hadi viganja vimeanza kulowa.. mweh...
 
Lah haula, afadhali sasa kondoo karudi kundini... ila tuwe makini asije kuwa 'chui'!

....kumbe kuna makundi humu,sikujua hilo,anyway kukosoa sio vibaya as long as una pinpoint tatizo liko wapi na mara nyingi unaweza kuona kama uko humiliated kama hujazoea,anyway message delivered hope atafanyia kazi
 
Mkuu, any positive change is a step in the right direction. Haufanyi kitu ili ujiangushe. Kwahiyo kwa vyovyote vile, kama kutakuwa na makosa au mapungufu, utayarekebisha with time. Fanya uwezacho kufanya kwa nguvu ulizo nazo.
........ingawa waswahili hawapendi maendeleo sometimes......ila wana vimisemo vizuri........'Jikune pale unakofika'......am sure sio tusi hilo.
 
..ha haha haha naona mwanakijiji umejipatia support hapo,good for u kama itakusaidia kufanya web yako iwe nzuri sio maneno matamu tuu,na wewe Nzoka unayemwita mswahili hapendi maendeleo ni nani? ndio nyie mliomfukuza Zitto bungeni mlivyopewa ukweli mkaishiwa kuzomewa....waswahili ni waswahili tuu wanataka kusifiwa kila kitu hata kama uwongo!
 
....kumbe kuna makundi humu,sikujua hilo,anyway kukosoa sio vibaya as long as una pinpoint tatizo liko wapi na mara nyingi unaweza kuona kama uko humiliated kama hujazoea,anyway message delivered hope atafanyia kazi

Kweli kabisa ndugu Koba, makundi yatakuwepo tu iwapo binadamu wataendelea kuwepo katika dunia hii. Ila mwenye kufaidi ni yule mwenye kuchagua kundi lenye kuteta manufaa kwake na katika kundi lake. Mwenye bahati mbaya ni yule atakaye kuwa kwenye kundi lisilo la kuleta manufaa bila hiari yake. Na mwenye kupingwa na kuzomewa ni yule aliye kwenye kundi la kuleta mabaya na kupinga kundi la wenye kuleta manufaa.

Basi leo hii mimi nimejiunga na kundi la kushauri ili kumwendeleza mwenzetu katika harakati zake na kazi zozote afanyazo kwa manufaa ya kundi lake.

Na kwa nyongeza tu, mwenye kukumbatiwa na kukaribishwa ni yule mwenye kutambua kuwa kundi lililopo halimfai na kuamua kujiunga na kundi la wenye kuleta manufaa.

SteveD.
 
..ha haha haha naona mwanakijiji umejipatia support hapo,good for u kama itakusaidia kufanya web yako iwe nzuri sio maneno matamu tuu,na wewe Nzoka unayemwita mswahili hapendi maendeleo ni nani? ndio nyie mliomfukuza Zitto bungeni mlivyopewa ukweli mkaishiwa kuzomewa....waswahili ni waswahili tuu wanataka kusifiwa kila kitu hata kama uwongo!
Mkuu,
Constructive criticism ni muhimu sana. Ila ndugu, mwanzoni umeponda kiswahili. Baadaye ukatoa criticism vizuri, ambazo nakubaliana nawe, na sikuwa na haja ya kuzirudia.
Niliposema waswahili simaanishi wewe necessarily, kwani criticism nakutana nazo mara kwa mara, lakini mara nyingi criticism za kibongo ni negative bila kupewa positive progression. Wenzetu wazungu, wana tabia ya kuona positivity kwenye ugumu.....wengi wetu sisi tunaona negativity tuuu......its like everything is doomed.
Kuhusu kumfukuza Zitto bungeni hata sijui nijibu vipi. Haina noma lakini.
Anyways, sina muda wa kulumbana.
 
huyo koba hajui kitu mimi namfahamu binafsi ni mtu mweupe mno????? achaneni na mpuuzi huyu suala ni ujumbe ufike mbona Tanzania mafisadi wapo lakini haendi kuwambia anajidai kwenye mambo asiyoyajua na kuruka anayoyajua!!!!???

koba kiss your ass...
 
Najaribu kuamini kuwa Koba alikuwa nania nzuri tu.

Ni mapema mno kumtuma nje akakiss .....
Labda alisahau neno countdown na kuwa matengenezo yalikuwa yanaendelea kwa hiyo akawa mkali kidogo.

Otherwise, welcome our new baby KLHN...... may all be the best to you!
 
Back
Top Bottom