Finally... here is the baby... the countdown...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Kuanzia kesho kama mambo yote yatakuwa kama yalivyopaswa kuwa, tovuti yetu mpya ya KLH News itakuwa mtandaoni katika kipindi cha majaribio na kufanya masahihisho. Kuna mambo ambayo hayajakamilika kabisa lakini kimuundo iko tayari kwa asilimia 90.

Hiyo ndiyo itakuwa tovuti mpya ya Kijijini Leo Hii ...

http://www.klhnews.com
 
MKJJ,

Hongera kwa hatua uliyofikia,

Labda kama nitakuw animepitwa na majibu yako kutokana na tuhuma za Dr Who....hivi ulishamjibu?
 
rangi mbaya & vimaandishi havina creativity yeyote,rangi nyeupe inaumiza macho,weka kitu cha kuvutia sio KLH tuu isiyo na mvuto...fanya kazi acha kulipua lipua tuu,na next time dont come here na news zako zisizo kamili na kuishia kuomba samahani kama hiyo site inavyosema sasa,uswahili utaacha lini?
 
rangi mbaya & vimaandishi havina creativity yeyote,rangi nyeupe inaumiza macho,weka kitu cha kuvutia sio KLH tuu isiyo na mvuto...fanya kazi acha kulipua lipua tuu,na next time dont come here na news zako zisizo kamili na kuishia kuomba samahani kama hiyo site inavyosema sasa,uswahili utaacha lini?

ukiambiwa uje ule matamshi yako sijui utayala...?
 
good try, mwkjj learn to take critics as tools towards success. As some of us are born with envy so you cant help those who overcriticize.
Still there's a long way to go.
keep it up.
 
Napenda kuchukua wakosoaji wangu vizuri tu, kukandia na kukosoa siyo kitu kile kile. Sasa mtu anakuja na kusema
"rangi mbaya & vimaandishi havina creativity yeyote,rangi nyeupe inaumiza macho,weka kitu cha kuvutia sio KLH tuu isiyo na mvuto...fanya kazi acha kulipua lipua tuu,na next time dont come here na news zako zisizo kamili na kuishia kuomba samahani kama hiyo site inavyosema sasa,uswahili utaacha lini?
unataka kuita huko ukosoaji, I ain't taking no bs from no punk!
 
Mmhhhh....somebody is in a mood for a fight today....

yes sir I am.. tena nilikuwa nitumie misamiati ya ghetto to express myself.. I had to tame them for a second. Unajua watu wengine ni wapuuzi. Kama mtu unataka kukosoa kosoa basi angalau kwa lugha ya kiungwana au onesha makosa ili mtu asahihishe, lakini wao wanakuja na kuanza kurusha maneno ya kukandia siyo ili wakusaidie bali waonekane wako kinyume nawe! Wapo ambao unajua kabisa wanafanya utani au la ila wengine there nothing you can do ambacho kitawafanya wakuunge mkono wakutie moyo n.k wao ni kujaribu kukuangusha kwa nguvu zote, furaha yao iko katika kukuumbua na heshima yao wanaipata kwa vijembe. Wao wako kama wachuuzi kwenye soko Matoka, Ngamiani au Vingunguti wanaanza kukandia maembe hata kabla hawajayala hata kuyaona!
 
Mkjj, ni vizuri umeliona hilo kutoka kwa haterz wanaojifanya wanatoa 'constructive criticism', kumbe ni dharau na chuki. Yaani nisawa na kutoa habari njema kuwa 'umepata mtoto', lakini mijitu inakurukia na kusema, oooh, anatembea? ana meno mangapi?...mbona shingo yake ndefu.... na majidubwasha mengine kama hayo!

Natamani tu ungeyajua maneno ya 'kibantu' ambayo ningewarushia mimi kama mtu ananiletea comment ya kiajabu ajabu..


SteveD.
 
sasa kama rangi mbaya na vimaandishi sivipendi unataka nikusifie tuu fanya kazi acha kulipua ebo!
 
Mwana we mwana wee
Mwana wetu KLH karibu wee
Mwana we mwana wee
Dunia yote yako mwana wee

oh come on, Mie sijui kuandika mashairi kama wewe Mwanakijiji kwa hiyo nitaandika ninavyojua mwenyewe.

So far the baby is hat.....very hot indeed

Karibu kwenye ulimwengu wa mtandao - our own KLHN International
 
sasa kama rangi mbaya na vimaandishi sivipendi unataka nikusifie tuu fanya kazi acha kulipua ebo!

ebo wewe mwenyewe! umeiona site yenyewe au unakurupuka tu! sasa kama huvipendi si usiangalie tena! kwanini usitengeneze ya kwako unayotaka na inayokupendeza ebo!
 
your page title is useless doesn't explain what the page is about

contrast in color, text is soooooo bad (hiyo ni bendera ya wapi? TZ? na hilo neno international news btn page title and vibendera ni mfano mzuri


hivyo vipicha viwili hapo mbele is meaningless/unnecessary graphics

your color combinations of text and background make the text hard to read

down for maintenance forever mazee is boring

tumia lugha moja sio kuchanganya

mwisho nakushauri go back and read good web design features itakusaidia sana hata kama wewe sio pro wa haya mambo
 
Sasa wewe Koba Kimanga ulikuwa wapi wakati mwenzio anaomba msaada hapa? Maana jamaa alioomba kama kuna mtu/ watu wanaoweza kusaidia wawasiliane nae. Ni wazi hukujitokeza kusaidia na sasa mwenzio kapiga hatua wewe umeanza kuua. Mijitu mingine bwana. Get a life...
 
Back
Top Bottom