Finally, AU spoke out amid Malawi election results confusions

educator2025

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
386
438
AU Chairperson Mrs. Zuma has just spoken out on the ongoing situation in Malawi, she urges Malawians and African in general to calm down as Malawi electoral commission finalise compiaion of just ended eneral election (find attached) for further details.
 

Attachments

  • Malawi_AU.pdf
    66.1 KB · Views: 85
Bora akemee uchizi wa huyu mama aliyepewa urais kwa gharama ya kifo cha mwanaume Kisha akadhani aliupata kwa ridhaa ya raia
 
Tatizo la Waafrica ni kuogopana. Kwa nini asikemee upuuzi anaotaka kuufanya JB?

Hadi hapo tutakapoweza kusimamia misingi ya haki na kisheria, bado tutaendelea na upuuzi wetu bila kujali madhara makubwa wanayowapata watu wetu kama kule Kenya 2007!
 
Tatizo ni kuwa haka ka mama hakakujua kuwa wamalawi hawakupenda awe kiongozi wao. Hawakupenda jinsi alivyokanyaga maamuzi ya mtangulizi wake. Hawakupenda jinsi alivyojiuzia ndege ya serikali kiujanja ujanja.
 
Back
Top Bottom