Filbert Bayi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) na mikakati yake mibovu

Melubo Letema

Member
Apr 1, 2020
61
125
Mikakati mibovu ya Filbert Bayi yakamilika baada ya TOC kumtangaza Thomas Tlanka (kinyume na maamuzi ya Kamati Tendaji) kuwa kocha wa timu ya riadha ya Tokyo. Amekuwa akitumia ukabila kwenye teuzi zake au kuhamasisha ukabila ndani ya Riadha.
Kwa Mfano, mtiririko huko hapa;

Inawezekana vipi kabila moja ikamiliki sekta nzima ya maamuzi ya TOC, BMT na AT? John Bayo asiye na kigezo cha kuwa kiongozi wa AT ni Mwirak, Neema Msitha Kaimu Katibu Mkuu BMT ambaye anamlinda Bayo na anayetokea Kijiji kimoja na Thomas Tlanka ni Mwirak, Filbert Bayi wa TOC na Kaimu Msajili wa Vyama vya Michezo ABEL ODENA ni Wairak.

Mara nyingi Bayi amekuwa akitumia cheo chake na pesa zake kurubuni viongozi au wadau wote wa Riadha Tanzania.

Je, Wizara ya Michezo hawayaoni Haya?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom