Filamu yangu imeibiwa na Wahujumu uchumi wa Tanzania (ASALI CHACHU) nawatafuta kwa udi na uvumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Filamu yangu imeibiwa na Wahujumu uchumi wa Tanzania (ASALI CHACHU) nawatafuta kwa udi na uvumba

Discussion in 'Entertainment' started by silver25, Mar 29, 2011.

 1. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani ninafilamu yangu ya ASALI Chachu
  Imeibwa katika Mazingira ya kutatanisha Huku ikisambazwa katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, sasa naomba Wadau msaada wenu kuiBlock na kuwakamata watu hao
   
 2. ngalikikinakiki

  ngalikikinakiki Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 56
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
 3. m

  mareche JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  imekula kwako
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,499
  Likes Received: 3,374
  Trophy Points: 280
  Pole sana!!!
   
 5. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,174
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Usiseme filamu yako imeibiwa........Sema filamu yako imeibwa
   
 6. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok Balantanda, Filamu yangu imeibwa, mmh kunakingine?
   
 7. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,174
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Hapana mkuu.....hakuna kingine...Neno kuibiwa linapoteza maana ya sentensi nzima mkuu wangu,samahani kama nimekukwaza.....  Bala.
   
 8. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo nocoment kaka, kwanzan nashukluru kwa kunipa Elimu
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Du! mara hii topic ishabadilika!!!
   
 10. Monasha

  Monasha JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2011
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 261
  Trophy Points: 80
  Jamani we mgeni bongo nini? kuibiwa ni kitu cha kawaida hapa. Na kadiri unapotangaza kuibiwa ndivyo mwizi anapojificha. Kweli inauma lakini hali halisi ndo hivyo. Usilalamike sana chukua hatua kijana. kama vipi ukimpata nistue tumchangamkie.:)
   
 11. Paw

  Paw Content Manager Staff Member

  #11
  Apr 3, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 1,993
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ningekusaidia ila nipo mbali. Piga hii namba 0713 274 747 utapata msaada wa ushauri.

  Pia unaweza kupiga hapa 0713 775 951 ni ya mhusika wa COSOTA (Copyright Society of Tanzania) ambao ndiyo njia pekee na muafaka kwa sasa. I mean utapaswa kuisajili kazi yako pale na uwaeleze tatizo lililojitokeza ili wachukue hatua kwani wana nguvu za kisheria.....
   
 12. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,533
  Likes Received: 310
  Trophy Points: 180
  dah! Pole sana mkuu ndio mitihani yenyewe hiyo
   
Loading...