Usichokijua kuhusu filamu ya The God Father

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,774
Inasemekana hii ndiyo moja filamu nzuri iliyowahi kupendwa hapa duniani. Imetengenezwa mwaka 1972 na mara ya kwanza ilikuwa riwaya lilioandikwa na mwanafasihi wa Kiitalia Mario Puzo.
Hii filamu inaelezea jinsi gani familia za kimafia kutoka kisiwa cha Sicily nchini Italy zilikuwa zinafanya umafia mjini New York.

Ile filamu inapendwa sana na watu lakini wanasahau kwamba yale matukio mengi ya mle ndani yalikuwa ni ya Ukweli na yalifanyika. Japo Mamafia tofatuti tofauti ndiyo waliyowahi kuyafanya. Hata utengenezwaji wa ile filamu ulipigwa marufuku na mabosi wa mafia kama Joseph Colombo ambaye aliapa kwamba ile filamu haitatengenezwa.

Mfano tu kwenye filamu inaonyesha ambavyo mzee Vito Corleone anamsaidia Mwanamuziki Johhny Fontaine kupata mkataba kutoka kwa mmiliki wa kampuni Jack Woltz. Jack Woltz anakataa na Don Corleone anatuma mamafia wanaenda kukata kichwa cha farasi wake anayempenda na kumuwekea kitandani.

Kwenye maisha ya kweli Mwanmuziki Johnny Fontaine ni Frank Sinatra na Jack Woltz ni Bilionea wa Kimarekani mwenye asili ya Kiyahudi marehemu Walt Disney. Sinatra amefanya kazi na kampuni la Disney japo mara ya kwanza alinyimwa mkataba na Disney. Akaamua kwenda kwa bosi wa kimafia na wakakata kichwa cha farasi wa Walt Disney a wakamwekea kitandani. Baada ya filamu kutoka Sinatra alimtukana sana Mario Puzo na hadi baadhi ya mabosi wa kimafia walimdaka na kuanza kumuuliza yale mambo amejulia wapi.

Sehemu ya Michael Corleone nayo ni ya kweli. Na mambo yako vile vile kabisa ndiyo maana hadi waitalia wanaoshi Marekani chini ya mwamvuli wa Italian-American Civil Rights League waliamua kupambana na hiyo filamu kwasababu walisema kwamba inawachafua watu wa Italia. Ukweli ulikuja kuvuja kutoka F.B.I kwamba Italian-American Civil Rights League ilikuwa inawfdhiliwa na mamafia hasasa Familia ya Colombo ambaye alikuwa anamtafuta sana Mario Puzo.

Ukisoma hizo Riwaya za The God Father na ufuatilie matukio ya kihistoria nchini Marekani na hadi mapinduzi ya Cuba utakuja kujua ile filamu ina ukweli mwingi: Na hii ndiyo inafanya ipendwe sana na watu wengi duniani. Japo Wakatoliki wengi hawaipendi The God Father 3 kwasababu walisema inalichafua kanisa lakini ukweli ni kwamba mengi ya mle yalifanyika sana miaka ya 70's. Hadi The New York Post walisema "Hating The God Father 3 is hard as defending Sinatra"

Mpelelezi kutoka F.B.I anayeitwa John Miller aliwahi kufanya Interview na kituo cha CBS NEWS cha Marekani akasema kwamba "FRANK CASTELLO WAS THE GODFATHER" kwamba kwenye ile filamu VITO CORLEONE anafanana kile kitu na Castello. Na anasema baba yake alikuwa na urafiki na baba yake Frank Castello.

HUYU NDIYE GODFATHER MWENYEWE FRANK CASTELLO au VITO CORLEONE.
Frank_Costello_-_Kefauver_Committee.jpg

CC: Daudi Mchambuzi , MSEZA MKULU , Consigliere , Red Giant , UncleBen , FisadiKuu , mchambawima1 , werrason , eden kimario , big gift
 
Inasemekana hii ndiyo moja filamu nzuri iliyowahi kupendwa hapa duniani. Imetengenezwa mwaka 1972 na mara ya kwanza ilikuwa riwaya lilioandikwa na mwanafasihi wa Kiitalia Mario Puzo.
Hii filamu inaelezea jinsi gani familia za kimafia kutoka kisiwa cha Sicily nchini Italy zilikuwa zinafanya umafia mjini New York.

Ile filamu inapendwa sana na watu lakini wanasahau kwamba yale matukio mengi ya mle ndani yalikuwa ni ya Ukweli na yalifanyika. Japo Mamafia tofatuti tofauti ndiyo waliyowahi kuyafanya. Hata utengenezwaji wa ile filamu ulipigwa marufuku na mabosi wa mafia kama Joseph Colombo ambaye aliapa kwamba ile filamu haitatengenezwa.

Mfano tu kwenye filamu inaonyesha ambavyo mzee Vito Corleone anamsaidia Mwanamuziki Johhny Fontaine kupata mkataba kutoka kwa mmiliki wa kampuni Jack Woltz. Jack Woltz anakataa na Don Corleone anatuma mamafia wanaenda kukata kichwa cha farasi wake anayempenda na kumuwekea kitandani.

Kwenye maisha ya kweli Mwanmuziki Johnny Fontaine ni Frank Sinatra na Jack Woltz ni Bilionea wa Kimarekani mwenye asili ya Kiyahudi marehemu Walt Disney. Sinatra amefanya kazi na kampuni la Disney japo mara ya kwanza alinyimwa mkataba na Disney. Akaamua kwenda kwa bosi wa kimafia na wakakata kichwa cha farasi wa Walt Disney a wakamwekea kitandani. Baada ya filamu kutoka Sinatra alimtukana sana Mario Puzo na hadi baadhi ya mabosi wa kimafia walimdaka na kuanza kumuuliza yale mambo amejulia wapi.

Sehemu ya Michael Corleone nayo ni ya kweli. Na mambo yako vile vile kabisa ndiyo maana hadi waitalia wanaoshi Marekani chini ya mwamvuli wa Italian-American Civil Rights League waliamua kupambana na hiyo filamu kwasababu walisema kwamba inawachafua watu wa Italia. Ukweli ulikuja kuvuja kutoka F.B.I kwamba Italian-American Civil Rights League ilikuwa inawfdhiliwa na mamafia hasasa Familia ya Colombo ambaye alikuwa anamtafuta sana Mario Puzo.

Ukisoma hizo Riwaya za The God Father na ufuatilie matukio ya kihistoria nchini Marekani na hadi mapinduzi ya Cuba utakuja kujua ile filamu ina ukweli mwingi: Na hii ndiyo inafanya ipendwe sana na watu wengi duniani. Japo Wakatoliki wengi hawaipendi The God Father 3 kwasababu walisema inalichafua kanisa lakini ukweli ni kwamba mengi ya mle yalifanyika sana miaka ya 70's. Hadi The New York Post walisema "Hating The God Father 3 is hard as defending Sinatra"

CC: Daudi Mchambuzi , MSEZA MKULU , Consigliere , Red Giant
Duh
 
Salute kwake Al capone!

Mkuu Al Capone alikuwa kwenye The Scarface na ni muuza unga.
Vito Corleone ni Frank Castello ambaye alikuwa hapendi kabisa biashara ya unga.
Vito Corleone kama Frank Castello alikuwa amewanunua wanasiasa kibao Marekani.
Vito Corleone kama Frank Castello alianzisha vita kwenye familia za kimafia.
Vito Corelone kama Frank Castello alikuwa ana akali na anapenda kutumia diplomasia.
Vito Corleone kama Frank Castello alipgwa risasi hadharani lakini akapona.
F.B.I wanasema alikuwa na familia ndogo lakini ina ushawishi mkubwa balaa.
 
Inasemekana hii ndiyo moja filamu nzuri iliyowahi kupendwa hapa duniani. Imetengenezwa mwaka 1972 na mara ya kwanza ilikuwa riwaya lilioandikwa na mwanafasihi wa Kiitalia Mario Puzo.
Hii filamu inaelezea jinsi gani familia za kimafia kutoka kisiwa cha Sicily nchini Italy zilikuwa zinafanya umafia mjini New York.

Ile filamu inapendwa sana na watu lakini wanasahau kwamba yale matukio mengi ya mle ndani yalikuwa ni ya Ukweli na yalifanyika. Japo Mamafia tofatuti tofauti ndiyo waliyowahi kuyafanya. Hata utengenezwaji wa ile filamu ulipigwa marufuku na mabosi wa mafia kama Joseph Colombo ambaye aliapa kwamba ile filamu haitatengenezwa.

Mfano tu kwenye filamu inaonyesha ambavyo mzee Vito Corleone anamsaidia Mwanamuziki Johhny Fontaine kupata mkataba kutoka kwa mmiliki wa kampuni Jack Woltz. Jack Woltz anakataa na Don Corleone anatuma mamafia wanaenda kukata kichwa cha farasi wake anayempenda na kumuwekea kitandani.

Kwenye maisha ya kweli Mwanmuziki Johnny Fontaine ni Frank Sinatra na Jack Woltz ni Bilionea wa Kimarekani mwenye asili ya Kiyahudi marehemu Walt Disney. Sinatra amefanya kazi na kampuni la Disney japo mara ya kwanza alinyimwa mkataba na Disney. Akaamua kwenda kwa bosi wa kimafia na wakakata kichwa cha farasi wa Walt Disney a wakamwekea kitandani. Baada ya filamu kutoka Sinatra alimtukana sana Mario Puzo na hadi baadhi ya mabosi wa kimafia walimdaka na kuanza kumuuliza yale mambo amejulia wapi.

Sehemu ya Michael Corleone nayo ni ya kweli. Na mambo yako vile vile kabisa ndiyo maana hadi waitalia wanaoshi Marekani chini ya mwamvuli wa Italian-American Civil Rights League waliamua kupambana na hiyo filamu kwasababu walisema kwamba inawachafua watu wa Italia. Ukweli ulikuja kuvuja kutoka F.B.I kwamba Italian-American Civil Rights League ilikuwa inawfdhiliwa na mamafia hasasa Familia ya Colombo ambaye alikuwa anamtafuta sana Mario Puzo.

Ukisoma hizo Riwaya za The God Father na ufuatilie matukio ya kihistoria nchini Marekani na hadi mapinduzi ya Cuba utakuja kujua ile filamu ina ukweli mwingi: Na hii ndiyo inafanya ipendwe sana na watu wengi duniani. Japo Wakatoliki wengi hawaipendi The God Father 3 kwasababu walisema inalichafua kanisa lakini ukweli ni kwamba mengi ya mle yalifanyika sana miaka ya 70's. Hadi The New York Post walisema "Hating The God Father 3 is hard as defending Sinatra"

CC: Daudi Mchambuzi , MSEZA MKULU , Consigliere , Red Giant

Ni familia ya Colombo au ya Gambino?
 
NIMEKUELEWA MKUU.
 
Thanks mkuu MALCOM LUMUMBA. This thing is among my favorite of all the times. Yaani huwa nikiwa ma vifuatavyo huwa sipungukiwi country musics, salsa musics, movies za aina hii and a like.
Hii movie ninayo, na kwa kweli mambo ya mule ndani inakufanya usichoke kuiangalia tena na tena. nilikua na ratiba ya kuiangalia mara mbili kwa mwaka, lakini mwaka jana na mwaka juzi imepita bila ya kuiangalia, sasa hivi umenikumbusha itabidi niifanye kuwa ni Project ya december. Nashukuru sana mkuu kwa kunikumbusha.

Ndani yake kuna quates kali kama hizi;

1. "A man who doesn't spend time with his family can never be a real man."
2. "You can act like a man! What's the matter with you? Is this how you turned out, a Hollywood finocchio that cries like a woman? Ah what can I do? What can I do?" - Hapo John Fontane alichapwa kofi, wakati analialia baada ya Jack Waltz kumkatalia mkataba wa kuimba, maana alisababisha bint ambaye Jack Waltz alimuandaa kwa gharama na muda mrefu akimbie baada ya kuisikia tu sauti John Fontane. Bint akahisi hapo tayari hana chake. Ikumbukwe John Fontane ingawa hakua mtoto halisi wa Vito Corleone lakini alikua akipendwa sana, nadhani kuliko wote.

3. "It's a Sicilian message. It means Luca Brasi sleeps with the fishes." - Hapo the Clemenza alikua akimtafsiria Sony kwamba Luca Brasi is no more....baada ya kuuawa.
4. "I'm gonna make him an offer he can't refuse" - Huyo ni Vito Corleone. Jack Waltz ni kati ya 'walionufaika' na offer hizo.

6. "Luca Brasi held a gun to his head, and my father told him that either his brains or his signature would be on the contract..." - Hiyo ni kauli ya Michael Corleone akijaribu kumfafanulia mpenzi wake alipouliza maana ya 'an offer he cant reufuse', hapo Michael alikua ndani ya sare za kijeshi akijitahidi kujiweka mbali na family business, ndipo akawa anamsimulia mpenzi wake baadhi ya mambo wakiwa hapo harusini.

Kuna mambo mengi, ila itoshe tu kusema that movie is something else.
5.
 
Thanks mkuu MALCOM LUMUMBA. This thing is among my favorite of all the times. Yaani huwa sipungukiwi country musics, salsa movies za aina hii and a like.

Hii ndiyo ilikuwa noma sana; Jamaa alikuwa nyang'au sana.
corleone.jpg
 
jina lako tu linaongea yote. mkuu MALCOM LUMUMBA sikujua story hii ipo karibu na ukweli kama the goodfellas. hii movie nimeiangalia mara nyingi na kila mara inakuwa mpya.
 
Ni familia ya Colombo au ya Gambino?

Familia ni nyingi mku, Mario Puzo ametumia lugha ya picha kuwajumuisha mamafia wengi hasa kipindi cha Banana War.
Mfano mzuri tu misemo mingi ya Vito wameichukua kwa bwan Gravano ambao ni bosi (marafiki)wa familia ya Gambino.
Tabia za fujo fujo zote ni za familia ya wakina Colombo.
Lakini mishe mishe zote za Vito Corleone ni za bwana Frank Castello rafiki wa familia ya Luciano.
F.B.I wanasema hakuna Judge wa New York aliyechaguliwa bila idhini ya bwana Castello wakampa jina Prime Minister.

Familia ya Colombo na Gambino siyo sana kwasababu walikuwa ni wauza unga na vitu vingine.
Vito Corleone ( Frank Castello) rafiki au bosi wa familia ya Luciano alikuwa hapendi kabisa biashara ya madawa ya kulevya.
Yeye ilikuwa ni kamali tu kama walivyofanya kwenye filamu.
 
jina lako tu linaongea yote. mkuu MALCOM LUMUMBA sikujua story hii ipo karibu na ukweli kama the goodfellas. hii movie nimeiangalia mara nyingi na kila mara inakuwa mpya.

Mkuu John Miller aliyekuwa anafanyia F.B.I akiwa anahojiwa na kituo cha CBS NEWS alikiri kwamba " FRANK CASTELLO WAS THE GODFATHER" anasema familia zao zilikuwa na urafiki ndiyo maana akajua mengi sana.
Don Corleoneeeeeeeeeeee.
 
50 Reactions
Reply
Back
Top Bottom