Filamu ya Kikorea ya Mission Impossible ni moto sana!

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Jan 18, 2021
549
557
Leo nimeitazama mission imposible niliweka kwenye store mda mwingi nikawa naiskip tu kumbe ni bonge moja la movie

Iko hiv binti yoh dae hae ni kutoka kitengo nyeti cha usalama anatakiwa kufanya kazi na bwana wo soo han huyu lakini mshikaji yeye anapenda sana pesa alafu utani mwingi hata akiwa katika eneo la hatari

Sasa wanatakiwa kupeleleza na kujua nani ni muhusika wa usafirishaji na uuzaji wa silah kimagendo wanapeleza wanafanikiwa kugundua kikundi cha kihalifi cha axle clan wana uhusiano na joon hoon huyu ndo gunlord seller biashara zote haramu ndo zake hapo

Wakati wanakaribia kumkata muhusika hawa maagenti wawili wanadakwa alafu mmoja anaambiwa awauwe polisi ili yule patner wake aachiliwe Kimbembe kinaanzia hapo

Hapo utajua kwamba mwamba wo soo han hafai hata kidogo

Naipa rate ya 8/10 kuna mkono wa kutosha humo utacheka na kutahamaki
images-5.jpg
 
Nitaiweka kwenye list yangu nimeipenda story yake.Asante Sana kea kutupa story fupi ya hiyo movie
 
Korean movie zile za kiintelijensia na zile za historia ya Korea hapo utakuwa umeniweza
 
Back
Top Bottom