filamu mpya ya kanumba kuachiwa tarehe 28 mwezi huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

filamu mpya ya kanumba kuachiwa tarehe 28 mwezi huu

Discussion in 'Entertainment' started by Ruttashobolwa, Sep 20, 2012.

 1. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Wapenzi wa filamu za marehemu Steven Kanumba watakuwa na uhakika wa kumuona tena staa huyo aliyefariki April mwaka huu kwenye filamu mpya.

  Filamu hiyo inaitwa Ndoa Yangu ambapo Kanumba aliigiza na Jackline Wolper.

  Ndoa Yangu inatarajiwa kuingia sokoni September 28 ikiwa chini ya usambazaji wa kampuni Steps Entertainment.

  Tangu kifo cha Kanumba, hiyo itakuwa ni filamu yake ya kwanza kutoka huku kampuni ya Steps ikidai kuwa imetengenezwa kwa kiwango cha juu na pia haiwezi kukopiwa kirahisi na maharamia.

  Napatwa na wasi wasi juu ya huwezo wa steps kuzui filamu hii kukopiwa kama walivyo sema., ni bora huu ukawa mwanzo wa kuzuia wizi wa filamu za wasanii wetu siyo kwa hii tu hata nyingine.

  Kama steps wana uwezo wa kuzuia kukopiwa kwa filamu za wasanii kwa nini kila siku zina kopiwa?
  Ni vyema wakatafuta suluhu la kudumu na kwa wote si kwa watu wachache.


   
 2. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Aiseeee babaangu ngoja nitainyonja kwenye flash yangu
   
Loading...