Fikra za mateso, uvumbuzi wa zana na mbinu za utesaji, kutesana kati ya binadamu kunaweza kuwa udhihirisho halisi wa uwepo wa shetani au nguvu za giza

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,581
46,178
Kila mtu amesikia au kuoana kwa uhalisia, taarifa au katika filamu mateso na ukatili binadamu wanaofanyiana kati yao. Tofauti katika mateso ya binadamu mmoja kwa mwingine na yale wanayofanyiana wanyama hayawani ni kwamba wanyama hutesana kwa sababu kubwa ya kugombea chakula na "survival"/ kuendelea kuishi. Kwa upande wa binadamu ni tofauti sana kwani mara nyingi binadamu mmoja humtesa binadamu mwenzake pasipo hizo sababu kuu mbili au bila sababu yoyote ya msingi katika asilimia kubwa ya visa.

Kama shetani hayupo, uchawi haupo, nguvu za giza hazipo, chanzo cha fikra asili za binadamu kuvumbua njia za mateso, kutengeneza zana za mateso na kutesana kati ya binadamu pasipo manufaa yoyote ya msingi kwa mtesaji zinatoka wapi?
 
Wewe ni Mungu, wewe pia ni Shetani...

Unapoudhika, na unapokuwa kawaida ndio palipo na Uungu wako na Ushaitwaaani wako apo apo...hata wewe unaweza kiwa shetani, shetani si kiumbe ni matendo mkuu.
 
Inawezekana vipi kuwa na vitu viwili kwa wakati mmoja?
 
Wewe ni Mungu, wewe pia ni Shetani...

Unapoudhika, na unapokuwa kawaida ndio palipo na Uungu wako na Ushaitwaaani wako apo apo...hata wewe unaweza kiwa shetani, shetani si kiumbe ni ma.
Wewe ni Mungu, wewe pia ni Shetani...

Unapoudhika, na unapokuwa kawaida ndio palipo na Uungu wako na Ushaitwaaani wako apo apo...hata wewe unaweza kiwa shetani, shetani si kiumbe ni matendo mkuu.
Wewe ni Mungu, wewe pia ni Shetani...

Unapoudhika, na unapokuwa kawaida ndio palipo na Uungu wako na Ushaitwaaani wako apo apo...hata wewe unaweza kiwa shetani, shetani si kiumbe ni matendo mkuu.
H

Kuna kisa cha shetani na yes,shetani akimwambia yesu uki ni sujudia nitakupa vyote vya ulimwemwengu. Apo nikivipi ushetani wake umwongelesha ivo???
 
Back
Top Bottom