Fikra pevu: Uanzishwe utaratibu wa kuwalinda, kuwajenga wapambanaji wa taifa.

A JUSTMAN

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
439
555
Wapo watu waliojaliwa karama ambazo hakika wanazitumia vema kwa kuwatumikia wengi hasa wanyonge kwenye jamii.
Watu hawa wanakuwa mwanga kwa jamii na wanaeza kuwa viongozi wapenda haki [sijaeleza watawala], wapambanaji/wanaharakati au watetezi tu wa raia waote bila kujali itikadi zao, kabila au dini.

Mfano Marekani alikuwepo Dr. Martin LutheyrKing Jr., Malcom X - The little Malcom,
Afrika ya kusini alikuwepo Chief Albert Luthuli ni role model wangu huyu, Nelson Mandela tata Madiba, Oliver Tambo, Kongo ni Patrik Lumumba nk, nk, nk.
Wapo wengi Afrika na hata duniani wachache hubahatika kufa vifo vya kawaida lakini wengi wanauawa na tawala dhalimu kwa mauaji ya kutengenezwa au kupigwa risasi kinyama/kikatili.

Hoja yangu ni ili kuwajenga chipukizi wenye fikra au karama kama za mashujaa hawa hapo juu ni vema jamii iwe na utamaduni wa kuwaenzi vizuri na kuwatunuku heshima ya kipekee ili hata wao wapate moyo wa kupambana na wasiogope kuuawa hivyo kujenga jamii na taifa kwa misingi imara ya haki sababu wapambanaji hawa huwa hawakubali kukaa kimya kwa watawala dhalimu.

Albert_Lutuli_%28458603639%29.jpg

Sanamu la Chief Albert Luthuli Cape town.
Hii ikifanyika tunaeza kupata wakina Lissu wengi sana wakuu mwaonaje?
 
Likoje hilo elezea?
Wapambanaji wa kweli wenye kulijenga taifa na nia njema kwa wananchi woote wanalindwa

Sent from "La -Vista"
 
siku yako ikifika,utaondoka,

hata huyo anayekulinda,anaweza kukuua
Hoja yangu ni kuwa hata ukifa usife kizembe tu hali jamii inakuhitaji sana, sana, sana ufe kama Fidel Castro angalau kazi inakuwa imefikia pazuri sasa hata vijana wathubutu kuwa mafigther lakini leo vijana waoga sababu wasema utauawa halafu nani atathamini harakati zako?
 
Back
Top Bottom