Fikra mpya kwa UVCCM mpya na imara zaidi

JUMA BOAZ MWAIPAJA

New Member
Dec 2, 2017
4
2
Najua wengi mnakiu na matamanio ya kuiona jumuiya hii ya vijana inakuwa jeuri ya chama chetu na kimbilio la vijana nchi nzima hata kufikia hatua ya kuitwa UMOJA WA VIJANA TANZANIA....

Inawezekana naomba unifuatilie kuanzia wiki ya kesho nitaanza kueleza vijana wenzangu nini mtazamo wangu katika kutimiza shabaha na madhumuni ya kuanzishwa kwa jumuiya hii kwa mujibu wa kanuni yake na mpango kazi wake wa 2017-2022.

[HASHTAG]#VijanaNguvuMoja[/HASHTAG]
9e4b59c26c802072c96c967650aecc59.jpg
 
Ukianza shusha nondo nitag nije kukisoma kichwa chako!!..
 
hongera...
ila usisahau kufafanua na kauli mbiu hapo juu "Tumewasikia, tumewafikia"
ukijibu "W" tano na "H" moja zilizo ndani ya hiyo kauli mbiu.
 
Ushauri wangu chama chetu uwa tunajitoa ufahamu, tunaiba kura waziwazi, hatunaga aibu....kufanya uongo kuwa ukweli ndo hvo..komaa mdg angu...utachukiwa sana na watanzania lakin utaishi kama peponi...

Mafanikio mema
 
Back
Top Bottom