Fikra mbadala

Mwana-G

Member
Jan 9, 2016
45
15
Ivi inapotokea mtu anasoma chuo kikuu corse 10 au zaidi. Je, kunamfanya awe mhitimu bora katika kukalili au kuelewa? Mi na fikiri kunahaja ya serikali kuingilia kati baadhi ya taratibu za vyuo hatakama ni private.
Uwepo wa corse nyingi hakumsaidii msomaji kuelewa bali kukalili.
 
Kwani hizo kozi 10 unalazimishwa kusoma??? Halafu mbona kusoma hakuna mwisho wala kikomo...acha wivu na uvivu!!!
 
Back
Top Bottom