Fikiria na hili ingawa lina ukakasi mkubwa: Covid-19 Let Natural selection take its course

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
26,751
2,000
Let us relax, COVID 19 kill whoever can not be selected for survival and then at the end definitely resistant alleles to coronavirus will emerge and spread over time. Few/ many??? will be selected , adapted and may be speciation????? takes place to produce a better adapted black/white race, propagate na maisha yanaendelea! This is what is called natural selection as intimated by Darwin in 1859!:mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad::mad:.... ......................
 
Sunguratope

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
248
500

What a stupid thread.......there are high chances that at some point in ur life u contracted Malaria.....that was already natural selection kwanini ulikunywa dawa?si ungekufa....usiongee hivi vitu kwa vile huna experience....akifa ndugu yako na Corona ndo utaelewa.....
 
Stupid burger, hujui what the thread entails all about and I guess hujui the natural selection concept! Malaria haina dawa? You must be stupid! Malaria ina dawa , very effective medicines in place and readily available....the question ya natural selection haipo today! Anayesema ni ka ugonjwa kadogo mbona hujamkoromea. Lazima watu wafikiri nje ya mawazo ya kila siku! and actually natural selection inafanya kazi ndiyo maana wengine wanapona vema hata bila hospitalization.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
12,877

Umesahau mengine. Tusiweke sheria yoyote. Tuache wenye nguvu na wababe waue wanyonge. Janga la njaa likiingia tusisaidie wenye uhitaji. Hata kuchagua viongozi tusichague. Tuache wababe watengeneze himaya zao. Na wkama unamiliki mali au fedha tuache mwenye nguvu akikupora ni halali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom