Fikiria kwanza kabla yakuchangia jambo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fikiria kwanza kabla yakuchangia jambo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dungulee, May 22, 2009.

 1. D

  Dungulee Member

  #1
  May 22, 2009
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanachama wa jamiiForums hebu nisaidieni kwa hili:-

  Kwa mfano Wewe binafsi ukiwa kama muhalifu na kutokana na dhambi zako ama uhalifu wako ukaambiwa uchague hukumu yako mwenyewe kati ya hizi hapa ungechagua ipi?

  1.Kukatwa vidole gumba vya mikononi ama kukatwa nyama ya juu ya mdomo?

  2.Kutobolewa ngoma za masikio uwe kiziwi ama utobolewe macho uwe kipofu?

  3.Mwanaume ukatwe uume wako ama mwanamke ukatwe maziwa yako

  Fikiria kwanza kabla yakujibu.
   
 2. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2009
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Kasheshe
   
Loading...