Fikiri mara 2 ukweli kuhusu kifo cha osama na kikundi cha al qaida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fikiri mara 2 ukweli kuhusu kifo cha osama na kikundi cha al qaida

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by dostum, May 31, 2011.

 1. d

  dostum JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 215
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
 2. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hivi Osama kama hajafa si angejitokeza tu ili tumalize doubts zetu!?
   
 3. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Angekuwa hajafa tungejua tu. Hizo ni propaganda
   
 4. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Asiyeamini amlete! Ila sishangai kuna watu wanasema sheikh yahya hajafa kanyakuliwa! Wapuuzi wengine tuachane nao.
   
 5. K

  Kivia JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Osama hajauliwa na wamarekani, alikufa kifo cha kawaida na inasadikika ni mwaka 2001. Marekani wangemuua wao lazima wangemuonyesha kama walivyofanya kwa saadamu husein, mwezi mzima wakimuonyesha. Iweje osama iwe siri. Fumbo mfumbe mjinga mwerevu atalivumbua.
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  dahhhh
  Kifo cha Osama bado ni kitendawili..
  na wateguaje wake ni wachache sana...
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Kivia ... Sadam Hussein alionyeshwa akiwa hai ... je tunazungumzia hoja ya osama kuuwawa au kuonyeshwa akiwa ameuwawa....?

  hivi tukibisha osama hajauwawa inatusaidia nini...? wakati wanafamilia ya osama yaani mwakilishi wa watoto wao amekiri kwamba baba yao ameuawa na NAVY SEAL na ana dhamira ya kuwashitaki kwa kumuua badala ya kumkamata .... sasa sisi amabao hata hatuna hiyo damu ya uarabu tunapiga makelele kwamba osama hajauwawa... hizi ni njozi na ubishi usio na mantiki
   
 8. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  interesting!! Al-Qaeda wamekubali kwamba jamaa kauwawa, mmatumbi anabisha..ha ha ha ha ha!!!
   
 9. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #9
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  al qaeda wenyewe wamekubali lakini zaidi ni wanafamilia hasa wale waliokuwa naye wakati anauawa wamekiri. Sasa sijui hizi habari zako unazitoa wapi. Si sawa sana kuonyesha picha za mtu aliyeuawa kama vile. Lakini hata picha zingeonyeshwa bado mngesema zimetengenezwa. Haisaidii kuanza kupinga kuwa hajauawa
   
 10. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #10
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Nashangaa sana,hivi tunapata nini cha maana kuishi au kufa kwake?! bora hata tungekuwa tunapata madola anayopewa Pakistan..
   
Loading...