Fikiri kwa kutumia kichwa!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Watoto wawili mapacha(Tim&Tom) walienda sehemu kununua Ice Cream.Ice Cream ndogo inauzwa sh.500 na Ice Cream kubwa inauzwa sh.1000.Tim alimpa muuza Ice Cream sh.1000,muuzaji akampa Ice Cream kubwa.Tom naye akampa muuza Ice Cream sh.1000,muuzaji akamwuliza Tom;unataka Ice Cream kubwa au ndogo?.SWALI;Kwa nini Tom aliulizwa anataka aina gani ya Ice Cream wakati Tim alipewa Ice Cream bila kuulizwa chochote?

Wakati muuzaji anampa Tim ice cream kubwa alijua kwa vile wako wawili wata-share hiyo moja ila baada ya kuona na pacha wake tena anahitaji ndio akalazimika kuuliza kama na yeye apewe kubwa au ndogo. Nadhani nimepata maana nimefikiri kwa kutumia kichwa na sio masaburi!!!!

Kama angehisi wanataka ku-share,Tim ndo angeulizwa swali kama kwa ile buku awape mbili za jero jero ili wagawane?

Itakua wakati Tim anatoa sh 1000, macho yake yalikua kwenye ice cream kubwa halafu wakati Tom anatoa hela alikua undefined, tuseme alikua anashangaa kila mahali.

Mh!But I Like The Way You Are Thinking!

Mi nahisi labda tom ni mdogo kwa tim na ndio maana akaulizwa anataka kubwa au ndogo ingawa na yeye katoa 1000

Mtazamo wako ni mzuri lakini bado hujatoa jibu sahihi.

Watoto wawili mapacha(Tim&Tom) walienda sehemu kununua Ice Cream.Ice Cream ndogo inauzwa sh.500 na Ice Cream kubwa inauzwa sh.1000.Tim alimpa muuza Ice Cream sh.1000,muuzaji akampa Ice Cream kubwa.Tom naye akampa muuza Ice Cream sh.1000,muuzaji akamwuliza Tom;unataka Ice Cream kubwa au ndogo?.SWALI;Kwa nini Tom aliulizwa anataka aina gani ya Ice Cream wakati Tim alipewa Ice Cream bila kuulizwa chochote?

Hii naiona kama Pasua Kichwa Mzee............ Ngoja nijaribu, huenda Ice Cream Kubwa ziliisha na ndio maana akamuuliza Tom ili ajua kama atataka hizo ndogo au ataghairi, maana mapacha huwa hawapendi mmoja apewe kitu tofauti na mwenzie............... Sijui nimetumia makamasi badala ua ubongo kufikiri!

mi nadhani, hawakwenda dukani pamoja....kila mmoja alienda kwa wakati wake......sasa muuza duka alipomuona Tom akadhani Tim amerudi tena......ndio maana akamuuliza safari hii ampe ndogo au kubwa......labda uniambie hawa kina Tim Tom hawajafanana

Wana JF wote nawaheshimu,wanatumia brain kufikiri,ila jibu bado.

mi nadhani, hawakwenda dukani pamoja....kila mmoja alienda kwa wakati wake......sasa muuza duka alipomuona Tom akadhani Tim amerudi tena......ndio maana akamuuliza safari hii ampe ndogo au kubwa......labda uniambie hawa kina Tim Tom hawajafanana

Akhsante,ila Tim na Tom walienda kununua ice cream kwa pamoja!

basi Tim alisema...nipe Ice cream kubwa.......

Hamna aliyejieleza kati ya Tim na Tom.

Back
Top Bottom