Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,438
- 1,026
Watoto wawili mapacha(Tim&Tom) walienda sehemu kununua Ice Cream.Ice Cream ndogo inauzwa sh.500 na Ice Cream kubwa inauzwa sh.1000.Tim alimpa muuza Ice Cream sh.1000,muuzaji akampa Ice Cream kubwa.Tom naye akampa muuza Ice Cream sh.1000,muuzaji akamwuliza Tom;unataka Ice Cream kubwa au ndogo?.SWALI;Kwa nini Tom aliulizwa anataka aina gani ya Ice Cream wakati Tim alipewa Ice Cream bila kuulizwa chochote?