mkatagogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2015
- 229
- 43
Kuna mengi yamesemwa juu ya ukabila TFF na mambo yanavyoendeshwa sivyo na kupelekea soka la bongo kuwa pale pale leo hii kaitaba inawekewa nyasi bandia wakati nyamagana imekwama ,viongozi wengi nikutoka mkoa wa kagera kama mbwai iwe mbwai inabidi timu ziikomalie timu ya kagera suger ili ishuke daraja ili kumkomesha malinzi