Uwoga tu pia nahisi maandalizi hayakuwa mazuri sijui tatizo ni nini pesa hata sielewi vile vile tupende vya kwetu kusupport mfano wahindi tangu mwanzo wanamshangilia sana bondia wao na wala sijaona ngumi yoyote ya kutisha lakini hapa kwetu utasikia timu Cheka timu Kiba kwenye ishu ya kitaifaKatia aibu tu pambano limeisha kwa woga wake tu
Toka lini Mwafrika ampige mdosi au Mwarabu?!!! ha ha ha ha hata soka hatuwawezi.....Mbona Muda wote anaonekana kabanwa na mdosi?
Hahahaaa mwarabu anapigwa tuu.. Cheka alikosea timingToka lini Mwafrika ampige mdosi au Mwarabu?!!! ha ha ha ha hata soka hatuwawezi.....
Nmependa mawazo yakoUwoga tu pia nahisi maandalizi hayakuwa mazuri sijui tatizo ni nini pesa hata sielewi vile vile tupende vya kwetu kusupport mfano wahindi tangu mwanzo wanamshangilia sana bondia wao na wala sijaona ngumi yoyote ya kutisha lakini hapa kwetu utasikia timu Cheka timu Kiba kwenye ishu ya kitaifa