Figisu zamtoa Cheka ulingoni, apigwa kiwiko agoma kuendelea na pambano

Jamaa kama alikua ana muenjoy. Vitu vingine ni aibu., na alibeba bendera ya taifa.
 
Katia aibu tu pambano limeisha kwa woga wake tu
Uwoga tu pia nahisi maandalizi hayakuwa mazuri sijui tatizo ni nini pesa hata sielewi vile vile tupende vya kwetu kusupport mfano wahindi tangu mwanzo wanamshangilia sana bondia wao na wala sijaona ngumi yoyote ya kutisha lakini hapa kwetu utasikia timu Cheka timu Kiba kwenye ishu ya kitaifa
 
Alimdharau saana singa singa huyu,ushauri wangu cheka ni mzuri gym ndogo,cheka fanya mazoezi sana.
 
Hata bila kiwiko acngemweza muhindi yuko fit anamtisha na yy anastuka hovyo sana
 
Cheka mbona mzito hivyo.

Cheka yani dah alikuwa anapewa sifa kumbe upiganaji wake ndio huo

Huyo mhindi na Cheka wote miyeyusho lakini Cheka ndio kazidi

Tanzania sijui sports gani tupo vizuri kila sehemu aibu..Bongo boxer bado ase kama Cheka ndio anapigana hvyo aah
 
Haha yani huyu Cheka kanichekesha sana yani anaruka ruka tu kama mmasai ,anajirushia minguni bila timing,mzito yani anakwepa kwepa bila mpangilio

Halafu sifa kibao anapewa

Tanzania tatizo lipo wapi
 
Uwoga tu pia nahisi maandalizi hayakuwa mazuri sijui tatizo ni nini pesa hata sielewi vile vile tupende vya kwetu kusupport mfano wahindi tangu mwanzo wanamshangilia sana bondia wao na wala sijaona ngumi yoyote ya kutisha lakini hapa kwetu utasikia timu Cheka timu Kiba kwenye ishu ya kitaifa
Nmependa mawazo yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom