babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,299
tunakoeleka itakuwa survive for the fittestWanataka na roho za wapinzani wasiwepo kabisa
Sawa kabisa Mkuu hakuna Demokrasia, Demokrasia japa inazungumzwa tu mdomoni lakini rohoni hakuna kituvyama vingi vimeletwa nchi hii ili kuwaridhisha wazungu tu .
Wanahofu kunamambo mazito walifanya sasa wapinzani wakingia watajuaSioni haja ya upinzani maana chama kilichopo madarakani kinatumia nyenzo ya serikali kifanikisha mambo yake. Alafu hao waliotuletea huu mfumo wanakuja kukagua na kutoa riport za uongo kwamba mambo yamekwenda vizuri.