Figisu figisu la uchaguzi kilombero,kwa hali hii Jpm atafanikiwa?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,056
23,509
HALI ILIVYO KWENYE UCHAGUZI
WA HALMASHAURI YA
KILOMBERO
Kuna shida kubwa Kilombero
muda huu Uchaguzi wa
Mwenyekiti wa Halmashauri ya
Kilombero...
Leo ndiyo siku uliopangwa
kufanyika uchaguzi huo na hadi
sasa Mbunge wa Kilombero Peter
Lijualikali, dereva wake na dereva
wa Mbunge Devotha Minja
wamekamatwa na polisi.
Polisi ni wengi sana. Waandishi
wa Habari wa baadhi ya vyombo
vya habari, wamezuiwa kuingia
wala kukaribia ukumbi unaotumika
kupiga kura, isipokuwa wanaotoka
Star Tv, TBC, Uhuru na Habari Leo.
Hakuna mwananchi anaruhusiwa
kusogea. Halikadhalika wabunge
wetu wamezuiwa kabisa kuvuka
hata uzio uliowekwa. Polisi
wamejaa kila mahali.
Upigaji wa kura unaendelea huko
ukumbini.
Makene
********
 
-->>Tujiulize ni nini CCM kinachowatoa ROHO.
-->>Ni Kipi wanachokiogopa?/
*SHORT AND CLEARY ( vita ya kulinda maovu )
*Ulindwaji huu wa maovu kwa nguvu zote, JPM anautafakari kwa namna gani?
 
Back
Top Bottom