figganigga anawatakieni sikukuu njema

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
napenda kuwatakia sikukuu njema yenye furaha tele memba wenzangu wote wa jamiiforums. Hizi salaam zimfikie pia Invisible na mamoderators wenzake. mungu azidi kuwabariki.
merry+xmas.gif

mia
 
Last edited by a moderator:
wewe zisikufikie bali zikuage kwakua zinatoka kwako kuja kwetu.hasante kwa kuzitumia,binafs nimezipokea kwa moyo wa furaha na ziku hapa moyoni mwangu
 
Sante mkuu japo sikuku kwangu hapo poa sana kivile ila mia mkuu
 
napenda kuwatakia sikukuu njema yenye furaha tele memba wenzangu wote wa jamiiforums. Hizi salaam zimfikie pia Invisible na mamoderators wenzake. mungu azidi kuwabariki.
merry+xmas.gif

mia
unajipendekeza kwa mamodi eh?mia.mia.mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom