FIFA FRIEND MATCH SUDAN vs TAIFA STARS

daaa ubarikiwe mleta uzu keep us updated please btw Samata na ulimwengu si hawajajiinga na timu bado?
 
daaa ubarikiwe mleta uzu keep us updated please btw Samata na ulimwengu si hawajajiinga na timu bado?
Samata na Ulimwengu wapo na TP Mazembe msumbiji leo walikuwa wakicheza na Liga Muculmana ya Maputo.
 
Full time Sudan0-0Taifa stars.
Wanaondoka ADIS ABABA alfajiri kwenda MOROCCO kupitia CAIRO.
 
Full time Sudan0-0Taifa stars.u
Wanaondoka ADIS ABABA alfajiri kwenda MOROCCO kupitia CAIRO.

Safi jana vijana naamini watafanyakazi ya maana huko Moroco.Leo Samata kaendelea kutupia magoli kwenye mechi za kimataifa za timu yake
 
Back
Top Bottom